Inavyoonekana timu ya wanaoitwa 'makinda fc' ndo bac tena sasa hiv wamegeukia vibabu vya kimataifa...ngoja tuwaone ISIDINGO Fc aka wazee wa next seasons aka wazee wa kujipanga msimu ujao wameshakuwa kama Tamthilia ya ISIDINGO haiishagi kila msimu wao wanasema wanajipanga msimu ujao