Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,735
- 239,356
Ziko taarifa kwamba mabingwa wa Tanzania ( ligi ya kiwango cha chini zaidi afrika ) wana mpango wa kumwacha mchezaji mkongwe na mzoefu mbuyi twitte .
Taarifa hizi ni mbaya sana kwa mtu yeyote anayelifahamu soka , uzoefu ni hazina .
Hakika watani zangu mtajutia uamuzi wenu , katika safu yenu ya back 4 hakuna mchezaji imara na asiye na masihara kama huyu jamaa.
Ni kweli kwamba kuna vijana wapya wanakuja kwa kasi , lakini ni lazima tukubali kwamba hawa wachezaji wa kibongo they do not concentrate , hawana malengo ya maana wala malengo ya muda mrefu , akishapata vijihela mbuzi vya kununulia sofa Keko , zaidi akampata na Ashura inakuwa baaasi !
Hawa wachezaji wa kigeni wamekuja kufanya kazi kweli , wasipuuzwe .