sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Aveva na "genge" lako;
1. Kwanini mnatufanya tunakua watu wa kuumia kila msimu?
2. Kwanini mnatufanya tunaishi kwa taabu mitaani?
Hivi haya Maisha tunayoishi sasa ya maumivu makali, mateso, manyanyaso, dharau, dhihaka.. na nyinyi ni sehemu ya maisha yenu ya Kila siku? Au wenzetu mpo sayari nyingine?
Haya mahabari tushayachoka.
Suluhu la timu yetu halitaletwa na,
1. Mafundi toka Mtibwa
2. Fundi anayecheza namba zote toka Ghana
3. Au beki aliyemliza Paul Kagame.
Mnatakiwa mfahamu kua..
1. Janja yenu ya kupeleka mkutano Mkuu mwezi wa 7 mkidhani machungu tuliyonayo sasa yatakua yameisha.. La hasha mmechemka.
2. Janja yenu ya kufanya usajili.. Ili kujaribu kutuzuga na vimaneno eti mchezaji anacheza namba zote.. Tumeishitukia.
Mwisho.. Mwezi wa Saba siyo mbali.. Jipimeni Mapema.