Recent content by buimchizi

  1. buimchizi

    Msaada: Nimekuwa mkimya na mgumu sana kuzoeana na watu

    Mimi niko kama ww na naishi fresh napo pata mda wa kujichanganya najichanganya tena kwa mood inavyonituma ila sio watu wanasema au wao wanavyotaka na naenjoy japo kuna mda nakua sad kwa hii hali ila ndo nishazoea
  2. buimchizi

    Nani anaweza nisaidia jinsi ya kuverify location skrill

    Bro na mm naomba hiyo email nimekwam hapo hapo
  3. buimchizi

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Mimi mara nyingi inanitokea hii Kwa mfano nikiwa nimelala mtu akiingia chumbani najua kama Kuna mtu na nikishtuka kweli Kuna mtu unakuta ameingia na ya pili nikiwa natembea mtu akiwa ananiangalia bila mm kumuona nikigeuka basi unakuta kweli alikua ananiangalia unakuta anaangalia pembeni kama...
  4. buimchizi

    Mapenzi yalikufanyia nini hadi ukayaona hayana maana?

    Mimi ilibidi tugawane Kila kitu aisee sema mungu ni mkubwa now nimeshanunua vingine maisha yana Songa
  5. buimchizi

    Umewahi kupitia Nyakati ngumu kwenye Maisha yako, ukakosa mfariji wa kukutia Moyo?

    Mimi kwa upande wangu nilianza kwenda gym na ilinisaidia sana coz nilikua nishakata tamaa na most ya vitu vyote leo hii vilivyotokea kwenye maisha yangu vimenifanya nimekua mtu bora na najiamini na pia najisimamia mwenyewe nyakati zote tunazo pitia ziwe mbaya au nzuri Zina mafunzo...
  6. buimchizi

    Msaada wa kutengeneza beat kwa kutumia FL studio

    Niaje wana comment zenu kwenye hii beat niliyogonga
  7. buimchizi

    Hatimaye na Mimi yamenikuta

    Usiogope kesi maisha ndo haya usiogope tunamcheat kimya kimya Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
  8. buimchizi

    Hatimaye na Mimi yamenikuta

    Lovelove nakuja inbox mamaangu tumcheat tena Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
  9. buimchizi

    Hatimaye na Mimi yamenikuta

    Ushauri wa bure mle mtigo huyo mkeo upunguze machungu acha kulia lia mimi demu nikiisi tu anachepuka namla tako hasira zote zinaisha na hata akichepuka mimi roho hata ainiumi Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
  10. buimchizi

    Can you imagine hapatikani toka asubuhi!

    Mimi ndo maana mpnz yamenishinda mzee karibu tucheze game la pub g halina stress full raha mixer mnapiga story na wana hayo mambo ya mademu na haija hela ni kujitia kidole na kunusa mpnz bila pesa hayaendi zaidi zaidi utateseka tu Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
  11. buimchizi

    Ni mbinu gani unatumia kubalance shobo kwa mpenzi wako?

    Kwa mm mara nyingi hua namtafuta pale napo jiskia na yeye pia hvyo hvyo akikausha basi nakausha coz sio kila mda unajishusha kua ww tu ndo kila siku umtafute mwache yeye pia ajiongeze ukiona siku inapita bila kutafutwa ujue ww hauna umuhimu kwake so na ww jiongeze kua kama yeye akikutafuta poa...
  12. buimchizi

    Wengine kama tumelaaniwa katika mahusiano ya Mapenzi!

    Anaweza akawa hana shida but ajapata tu mtu ambaye anampenda ile serious au labda aina ya wanawake anao wataka yeye labda hawapo tayr kwa mahusiano ya mda mrefu.
  13. buimchizi

    Wengine kama tumelaaniwa katika mahusiano ya Mapenzi!

    Kaka kweli unateswa sahz ndo umeandika uzi huu pole mkuu ila hauko peke yako wenzio tunaachwa kwa kejeri na dharau na bado atukomi usikate tamaa mzee wa kazi kaza sasa hv kua na chupi tofauti tofauti utarudi na mrejesho mpya.
  14. buimchizi

    Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

    Hapana basi tu niliamua kuacha mwenyewe alafu kuna kale kaheshima flani kanashuka watu wako wa karibu wakijua unavuta bangi ujue kila mtu amekulia kwenye jamii tofauti ila bangi nzuri sana kuna stimu flan hv matata ukivuta Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom