Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,887
hakuna kitu kazi kama uwe msanii halafu uwe na Label,kufail rahisi kupita maelezo..Jay Z peke yake ndio kafanikiwa..Aiseeeeee huyo dogo ninavyomuelewa a a a a a signing bora ya cole ile ktk watu wake wote Bas, omen na wengineo..

