Recent content by Buhaya boy

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka jack pemba cosmetics shop---

    Tunauza vipodoz bora na original kutoka ndani na nje ya nchi kwa bei unayo imudu.Duka lipo Kawe opposite na kanisa la roma Kawe. Mawasiliano: Simu:,0719094897
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tazama viwanja vya Golf vilivyojengwa na J.Malinzi katika wilaya ya Missenyi

    cjui watu wengine tuwaiteje nikikuuliza kabila gani watasema ni ukabila huo.Jaribu kutembea kidogo hv nani kakwambia W.ya Missenyi ina shida ya maji kama Kakola,Msalala,Segese na maeneo mengine ya mkoa wa shinyanga? Tatizo la Kagera ni bei ya Kahawa jambo ambalo Malinzi co mhusika.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naweza ripoti wapi taarifa za raia wa nje asiyeish hapa TZ kialali

    Jamani kuna mwanafunz KAM college sio raia na kagushi cheti cha primary. Nikamripoti wapi ili sheria ichukue mkondo wake. Msaada tafadhali.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mawazo ndio katibu Mwenezi halisi wa Chadema Mnyika na Makene ni wa kwenye Press Conference

    Mkuu lazma kuwapongeza makamanda jasir.Pia viongoz wa CDM kahama nilipita pale wanajtahid sana chini ya M/kt wao wa jimbo wamepambana na sasa kahama inapigwa lami mjini kote kwa gharama za mgodi wa BUZWAGI ambao ccm wanauita mradi wa BUZWAGI.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya kifisadi ya Dr. Slaa kwenye ziara ya mkoa wa Kigoma, Singida, Tabora na Shinyanga

    yaan humu jf ukitaka kujua ma--sh--ga ni rahis sana.ila mpo sawa make kugeuza matumiz ya organ c mchezo--
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaman wana jf kahama kama mpo naomba tufahamiane ntakuwa hapo kesho.

    mkuu nakujaga sana niseme mwenyeji make mitaa mingi naijua PHANTOM,IGOMELO,MANZESE,NYAKATO,MHUNGULA,SHUNU,MAJENGO,NYASUBI,MBULU,LUMAMBO nk.
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaman wana jf kahama kama mpo naomba tufahamiane ntakuwa hapo kesho.

    Ndg zangu naamin hata Kahama wapo wana JF .Kama upo ntakuwa kahama kesho nikitokea mkoa jiran ntapumzika hapo kabla ya kurudi Dar er Salaam- -----Asanteni----
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kati ya Toyota vitz na Toyota funcargo ipi bora.

    wakuu asante kwa ushaur murua jaman--
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kati ya Toyota vitz na Toyota funcargo ipi bora.

    Wana JF pole na majukumu--- binafsi naomba kujuzwa kati ya magari tajwa hapo juu lipi ni imara na lenye jatumizi bora ya mafuta na pia spea. Natanguliza shukran wadau--
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye uzoefu na bishara ya Tax

    yaan 20m hujui ufanye bz gan ni pm nikushauri niwezacho-
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mgao wa Umeme Tanzania...

    Kahama wana cku5 giza achilia kuwasha na kukata kulikozoeleka.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

    Bila wahaya hakuna Tz..
  13. B

    JamiiForums Tanzania R.C.O Temeke na mwakilishi wa mkemia mkuu wazomewa na wajasiriamali

    hv hawa ccm wanaitakia nini nchi hii au mnadhan wakipata hela watawahamisha masaki? kwan hata Mwangosi alidhuliwa na kemikali? yaan hata ukiwa mtu mzima ukjiigiza ccm unakuwa kichaa.Jaman tatueni matatizo ya msing na sio kuwaza ujinga.Unajua inauma xana ila nadhan Mungu anatuckia watanzania.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Makosa yanayofanywa na wanaotoa elimu ya ujasiriamali

    Elisha Chuma mkuu hata mm nakubali mtaji ni changamoto ila pesa bila kujua ni kipi ufanye hilo ni tatizo kubwa ndo maana unaona 'post' nyng mara nna m.3 nifanye nn.Mfno kwnye semina za Lunyugu anakupa mbnu za soko,customer care,vpeperush vyenye bei za ''rawmaterials'' kwahyo kabla ya kutengneza...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Makosa yanayofanywa na wanaotoa elimu ya ujasiriamali

    Hawa watu mm naona bora wapongzwe make binafsi nimewah kuudhuria semina ya Dr.Didas Lunyungu imenisaidia sana.Ningesema namilik nn ila najua watasema najiproud.Unajua hapa Tz kadri unavyosoma sana ndo unazid kufanya maisha yawe magumu.Make tunajifanya kujua mno wakat kaz hatuna kuponda...
Back
Top Bottom