Yaani Umeandika ambacho Mpinzani Yoyote Anatakiwa Akitaje Jukwaani. Magufuli ni Kiongozi wa Hovyo Taifa limemshuhudia Mbabe asiye na Utu na Mwizi ndiyo maana Hapendi mambo ya Uwazi.
Naiheshimu CHADEMA kwa Kuweza Kutoa Upinzani wa kweli hasa kuwapa nafasi Vijana toka Familia Za Kawaida Kuwa Wanasiasa tofauti na ilivyokua kwa CCM Ambako ili ufikie uongozi lazima aidha ulambe Watu miguu au Uwe mtoto wa Kiongozi..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.