Umeandika kwa uchungu wakati huna ushahidi wowote, mkuu wasaidie polisi kama una ushahidi majungu na propaganda hazisaidii kitu chochote.Muache sasa kutuingizia hasara kama Taifa kwa kupoteza silaha bure, imagine risasi 38 zilipotea huku Lissu hajafa. Tumie hiyo silaha ya kuinua Uchumi. Sasa umefika Uchumi wa chini kati, nina imani ukifika Uchumi wa chini juu. Hawa vibaraka watajinyonga kabisa.
Uzuri ni moja sisi kama taifa tunajitambua. Wacha wapate ajira kwa watawala wao sisi tunajenga nchi na uchumi wetu, tayari tumeona huko tuendako kumenawiri.Wamejaaa wakenya kule na huyo Kikeke naye ni wa upande ulee.
Wanaongea uongo? Maana si kila usichokipenda ni cha uongo..kudamademede,
Nawashaur BBC SWAHILI toeni taarifa za kujenga na si za upotoshaji. Msikubali kutumiwa. Dunia ikiathirika hata ninyi mtaathirika.
Mwalimu Shida Yake Apande Daraja TuWanaongea uongo? Maana si kila usichokipenda ni cha uongo..
Mwalimu Shida Yake Apande Daraja TuWanaongea uongo? Maana si kila usichokipenda ni cha uongo..
Angalieni Tbccm yenu, kwani mmelazimishwa kuangalia BBC?kudamademede,
Nawashaur BBC SWAHILI toeni taarifa za kujenga na si za upotoshaji. Msikubali kutumiwa. Dunia ikiathirika hata ninyi mtaathirika.
Ukweli unaujua na nafsi yako inajua ingawa umechagua kuwa upande huo...Umeandika kwa uchungu wakati huna ushahidi wowote, mkuu wasaidie polisi kama una ushahidi majungu na propaganda hazisaidii kitu chochote.
Umesema zaidi ya kawaida. Aliyekuelewa kakuelewa. Dunia imejaa ushindani unaoleta ubora. Ukifanya ushindani kuwa uadui una matatizo ya akili.Nyie mnataka muishi dunia gani iliyo na uelekeo mmoja tu??
Hiyo dunia ya namna hiyo mnayotaka kuishi ndani yake haipo dude....!
Na kulazimisha kitu kisichokuwepo, kiwepo ni kujiumiza na kujitafutia matatizo ya bure bila sababu......
Tunaishi katika dunia kinzani. Na ukinzani huu ndiyo unaoleta UZURI na MAANA ya maisha...
Tunaishi dunia ya leo UNACHEKA, Kesho UNALIA....
Tunaishi dunia ya leo mwingine UNAPATA, kesho UNAKOSA...
Tunaishi dunia ya leo UMETIWA MOYO, kesho UMEVUNJWA moyo...
Tunaishi katika dunia ya leo UNAPONGEZWA, kesho UNAKOSOLEWA...
Hamuwezi kupingana na LAW OF THE NATURE... Haya ndiyo maisha ya binadamu....
Yesu Kristo mwana wa Mungu katika umbo na sura na mwili wa kibindamu alikabiliana na hali na aina hii ya maisha....
Hakulalamika. Hakupingana na mazingira yake. Hakubadilisha mazingira ya uonevu na ya kukatisha tamaa yaliyokuwa yanamzunguka...
Alishinda na zaidi ya kushinda ktk mazingira hayo hayo...
Nyie mna nini? Mnataka kutengeneza dunia yenu yenye uelekeo mmoja tu? Mtaweza na CCM na Magufuli wenu?
Kaeni tayari na mjiandae NATURE kuwabadilisha iwapo mnashindwa kubadilika kulingana na ASILI....
