Ilo nyomi sio rafiki kwa watoto wa kilke kabisa,Idara ya utumishi ijipange namna ya kuendesha zoezi zima kabla ya kukusanya kundi kubwa hivyo katika miundombinu ambayo haikidhi.
Nadhani kuna protocol zinazingatiwa maana katika hii ziara yake kanda ya ziwa anatembea na waziri mkubwa tu wa serikali ya mapinduzi itifaki imezingatiwa hapa naona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.