Asiye na Chama
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 1,269
- 652
Kuna wafanyakazi wanajituma sana chini ya mazingira magumu! Kuna wazembe pia hapo sikatai tena wengi, lakini sijasikia serikali hasa wanasiasa wakisifu mfanyakazi hata siku moja eg wafanyakazi wa afya, wao wanawalaumu na kuwadhalilisha kupata kiki za kisiasa! Inauma sana sana!Asiye na Chama, nimesema naelewa mazingira ambayo wafanyikazi wanafanyia kazi,ikiwa ni pamoja na upungufu wa vitendea kazi.Lakini ni kweli kwamba mazingira ya kazi ndio tatizo tu,au kuna matatizo pia ya uzembe,lack of initiative,juhudi,weledi,
uaminifu nk.kwa upande wa wafanyakazi ambayo wangeweza kuya address ili kuongeza tija?Jibu ni ndio.Kama ni hivyo,basi watumishi waya address, ili serikali ipata enthusiasm ya kuongeza mishahara na kupandisha madaraja.