Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Chuo cha Ufundi Stadi cha wilaya ya Busokelo mkoani Mbeya, Agosti 1, 2021. Wengine pichani kutoka kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama...