budget
Member
- Feb 23, 2015
- 42
- 27
TAFAKURI YAKINIFU KUHUSU WAGOMBEA
*Tuwapime Wagombea Kwa Utashi Wao Kisiasa Katika Mawanda Mapana Ya Kutangaza Kwao Nia, Kuchukua Fomu Na Kutafuta Udhamini
BERNARD KAMILLIUS MEMBE
Membe sio Mwanasiasa mzuri na hana muda mrefu wa utumishi ndani ya Chama Cha Mapinduzi kadi yake Ya kwanza ya CCM ameipata Mwaka 2003 jambo ambalo linampelekea kupoteza sifa ya kuwa Mwenyekiti wa chama kwa kukosa uzoefu ndani ya chama
Kuanzia Mwaka 2003~2012 hakuwahi Kuwa Kiongozi ndani ya Chama kupitia Uchaguzi, hakuwahi kuwa Mwenyekiti,katibu au Mjumbe Wa Nafasi yoyote wa Kugombe na kuchaguliwa ila amekuwa mjumbe wa Kamati ya Siasa baada ya kuchaguliwa kuwa Mbunge hadi 2012,Nec ndio nafasi yake Ya Kwanza ya Kuchaguliwa kama Kiongozi wa Chama hata ivyo aliponea katika nafasi ndogo Kukosa nafasi ya nec na kama si busara na mbeleko za meza basi Ingekuwa historia, ikumbukwe katika uchaguzi huo membe alishindwa mpaka na dr Fenela mkangala,January makamba,mwigulu wasira na wengine hii ilitokana na membe kukosa uzoefu na chaguzi za ccm na kutokukijua chama
Hivyo kwa namna hiyo huwezi kumpa Chama mtu ambaye sio Familia na Chama Cha Mapinduzi na hajui namna Ya kuongoza Chama anahitaji kupata Nafasi zaidi ya kupata Uzoefu ndani ya Chama
HOTUBA YAKE AKITANGAZA NIA
sehemu Kubwa Ya Hotuba Yake Imejikita Kuonyesha Uzoefu wake Katika Kushughulikia Migogoro na Kumaliza Matatizo Yanayozikabili Nchi Jirani,lakini Akasahau Kuwa Amiri Jeshi Mkuu Na Kuiongoza Taasisi Nyeti Kama Ikulu Ni Zaidi Ya Mahusiano Ya Kimataifa, Membe Kama Mtia Nia Hakuonyesha Vipaumbele Vyake Hotuba Yake Ilijaa Mbwebwe Mathalani Kuhitaji Huruma Kupitia Kaburi La Mwalimu Nyerere Ameonyesha Kutokujiamini Katika Mchakato Huu
KUCHUKUA FOMU
Akichukua Fomu Pia Membe Hakuonyesha Kama Mtu Mwenye Dhamira Ya Dhati Na Kweli Katika Mchakato Huu Wa Kugombea Kupitishwa Na Chama, hii Yawezekana ni Kutokana Na Kutokujiamini Kwake Hata Mbinu Zake Za Kuchelewa Kutangaza Nia nia Na Kuchukua Fomu Zinaonyesha Zaidi Jinsi Mabovyo Hakujipanga Na Anatumia Mikakati Ya Kuwatoa Mhanga Wengine Ili Yeye Kufanikiwa
KUTAFUTA WADHAMINI
katika Zoezi Hili Membe Ameonyesha Kupoteza Mwelekeo Katika Mchakato Huu Baada Ya Kuanza Kutafuta Wadhamini Huku Akionyesha anawasiwasi Wa Kutopita Ni Kama Mtu Anayejua Kesho Yake Kusuasua Kwake Na Matamshi Yake Yanadhihirisha Ni Mtu Anayesuburi Miujiza, Akiwa Mkoani Mbeya Alisema Endapo Atakatwa Jina Atamuunga Mkono Mwandosya Hii Inadhihirisha Membe Hana uwakika Katika Mbio Zake.
Huyu Ndie Membe Mgombea anayesaka Nafasi Kupitishwa Kupitia Ccm
Itaendelea Na Wengine.........
Mpiganaji