Recent content by Bubu Msemaovyo

  1. Bubu Msemaovyo

    Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

    Inaelekea una mtindio wa ubongo. Asiye muelewa Slow Slow ni miongoni mwa vikaragosi wa mafisadi na mafisadi wenyewe katika harakati za kuficha ukweli wa ufisadi wao. Mwandishi wa hii thread muogope Mungu. Amen.
  2. Bubu Msemaovyo

    GE2025 Mwanasiasa anayetaka kwenda Ikulu kwa kudanganya watu hatoshi

    Wewe umekodiwa? Nani asiyejua kuna wizi unafanyika? Naona mnalipwa hela nyingi sana ili muandike ujinga wenu
  3. Bubu Msemaovyo

    Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Inaelekea CDF Gen Mkunda ameshalamba asali, kayapata mabegi ya Abdul. Lakini huo ni ukiukaji mkubwa sana wa maadili ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Tulitegemea Loliondo ingerejeshwa na Jeshi letu, lakini kama muonavyo. Tulitegemea DP WORLD wangeonywa na TPDF ili nchi isiporwe. Lakini TPDF ni...
  4. Bubu Msemaovyo

    Usimshuhudie jirani yako uongo

    Hii ni Amri ya NANE kati ya AMRI KUMI ZA MUNGU. Usimshuhudie jirani yako uongo*: Hivi karibuni wenzetu wachache wanaenda kutenda DHAMBI HII KUBWA. Kama ni kweli kwanini USHUHUDIE KWA KUJIFICHA? Yaani sasa hivi mko busy mnafanya rehearsals za USHAHIDI WA UONGO kwa kulipwa SHEKELI. Yuda...
  5. Bubu Msemaovyo

    Mfalme wa Saudi Arabia aingia msikitini kavaa viatu

    Angalia vizuri ndugu. Hapo wanafanya nini wenzie. Usitetee jambo usilolijua.
  6. Bubu Msemaovyo

    Mfalme wa Saudi Arabia aingia msikitini kavaa viatu

    Hata kama ni muda kwani hapo amevua viatu hapo. Au wewe ni short sighted.?
  7. Bubu Msemaovyo

    Mfalme wa Saudi Arabia aingia msikitini kavaa viatu

    Hela ni kitu cha ajabu sana Mfalme wa Saudi Arabia kaingia msikitini katinga viatu kama kawaida. Vijana tafuteni hela ona hiyo.
  8. Bubu Msemaovyo

    Kuna nini katikati ya mbuga ya Serengeti?

    Hilo ndilo eneo alilouza Rais Ali Hassan Mwinyi kwa Waarabu. Kumbuka Mwinyi huyo ni Mzanzibari, Mama naye tutadikia vizuri baadaye. Hilo eneo alilouza Mwinyi ni mali ya Waarabu hata ukifika hapo na simu yako itakwambia uko UNITED ARAB EMIRATES. Hapo ndipo wanyama wetu wanapandia ndege kwenda...
  9. Bubu Msemaovyo

    Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

    CHADEMA HIYO NO REFORMS NO ELECTION
  10. Bubu Msemaovyo

    Serikali: Deni la taifa lafikia Tsh. Trilioni 107 ikiwa ni ongezeko la 14.9%

    Ogopa sana mwanamke kuwa juu ya mumewe. Atataka lipstick ya Tsh billion mbili akitaka. Tumekwisha.
  11. Bubu Msemaovyo

    Askari polisi nini hutokea mpaka mnapiga mtu na kumuua hali hajafanya resistance yoyote. Huwa mnarukwa akili?

    Hasira inasababishwa na uongozi wao wa juu. Fedha za kufa na kuzikana zinaliwa na wakubwa wao ambao wala hawachangii. Rais anadanganywa kuwa maisha ya Polisi yameboreshwa wakati ndiyo kwanza yamedumaa. Kila kukicha wanaambiwa wao ndiyo watekaji na wapotezaji watu wakati siyo wao kwahiyo wamejawa...
Back
Top Bottom