Recent content by Btwainy

  1. Btwainy

    Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

    Ni simu ya kawaida tu kwanini bei hiyo yote au kwa sababu ya madini ya Gold NETWORKTechnology GSM / UMTSLAUNCH Announced2007. Released 2008, October Status Discontinued BODY Dimensions130 x 42 x 13 mm, 65 cc (5.12 x 1.65 x 0.51 in) WeightFrom 166 g to 238 g (5.86 oz)...
  2. Btwainy

    CUBA: Mwanasiasa na Mwanamapinduzi, Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90

    Fidel Alejandro Castro Ruz maarufu kama Fidel Castro aliyezaliwa miaka 90 iliyopita mwaka 13 August 1926, huko mji wa Biran Cuba na kuwa waziri mkuu wa Cuba kuanzia mwaka 1959-1976 kabla ya kuwa Rais amefariki mida ya saa 22:29 ( 03:00 GMT jumamosi) .
  3. Btwainy

    NEW AUDIO: DIAMOND PLATINUM FT NEYO- I WANT TO MARY YOU,,,,

    Wewe kama mdau wa Music unaionaje ngoma,,,,,, Kuidownload ingia hapa AUDIO: DOWNLOAD NEW HIT DIAMOND PLATINUM FT NEYO-I WANT TO MARY YOU,,,, AUDIO: DOWNLOAD NEW HIT DIAMOND PLATINUM FT NEYO-I WANT TO MARY YOU,,,, - Adonis stunner
  4. Btwainy

    Nyimbo ya Kanye West ambayo mastaa wako uchi yaingia tuzo za MTVEMA

    Nachoshimdwa kuelewa n kwa kiasi gan jamaa huyu anajiamin kutumia wax dolls za watu maarufu hvyo.. Kweli na alivyojiita mungu et yeezus na dully kwenye nyimbo ya inde nae kavaa kama sjui kupromote sjui kutoelewa Tuombe Mungu
  5. Btwainy

    Nyimbo ya Kanye West ambayo mastaa wako uchi yaingia tuzo za MTVEMA

    Kanye west msanii toka maandishi matatu USA, miezi mitatu iliyopita iliachia ngoma yake iendayo kwa jina la "Famous" akiwa amemshirikisha msanii Rihanna ambayo video yake ilitoka ikionyesha sanamu za nta "wax" za watu maarufu mbalimbali wakiwa uchi wa mnyama. Video hiyo iliyotelewa ikionyesha...
  6. Btwainy

    Wasanii wa hiphop matajiri zaidi duniani

    Source yako nn??? Hiyo ya juu kuhakikisha ingia Cash Kings 2016: Hip-Hop's Highest-Earning Acts
  7. Btwainy

    Wasanii wa hiphop matajiri zaidi duniani

    WANAMUZIKI WA HIPHOP (10) MATAJIRI ZAIDI DUNIANI. 1.DIDDY Mbali na mziki Diddy ametengeneza fedha nyingi kwa miradi mbalimbali nje ya mziki kama mkataba wa kutengeneza vinywaji vya Diageo's Ciroc Vodka Kinara huyu anamiliki dola za kimarekani millioni 62 02.JAY Z Anazidi kutengeneza hela na...
  8. Btwainy

    Baraka da Prince ft Ali Kiba - Jiwe la mwaka

    Link hiyo hapo
  9. Btwainy

    Baraka da Prince ft Ali Kiba - Jiwe la mwaka

    NEW HIT: BARAKA DA PRINCE FT ALLY KIBA - NISAMEHE INGIA HAPA KUISIKILIZA,, http://adonistunner.blogspot.com/2016/09/new-hit-baraka-da-prince-ft-ally-kiba.html
  10. Btwainy

    Kama tetemeko lingetokea Mbeya

    [emoji23][emoji23][emoji23]umenifurahisha sana mkuuu
  11. Btwainy

    Somo kuhusu WhatsApp

    Bado sjaelewa ni whatsapp au jamiiforum
Back
Top Bottom