Somo kuhusu WhatsApp

Somo kuhusu WhatsApp

Mfumo huo haufanyi kazi ktk GBWhatsApp!

Ila ukiandika hivyo ktk gbwhatsapp, mpokeaji anayetumia whatsapp ya kawaida atapata ujumbe weny muonekano lengwa.
Sawa mkuu
Ukiweza pia tuletee maujanja on how to insert a word instead of the link kwa whatsapp
 
Natafuta njia ya ku underline kila alama ninayo jaribu kuweka naona holaaaaa daaah hiyo ya ku strike... ndio ingekuwa ku underline ingekuwa mia sana.
 
Naiweka kiporo
Zile alama alizokwambia mwanzo na mwisho wa kila neno .....mfano. _mambo vip_ au * habari vip* au ~braza mambo vip~ Umeona nilichokifanya mwanzoni na mwisho wa maneno yangu nimetanguliza hizo alamu na kumalizia hizo alama....
 
Back
Top Bottom