Recent content by brym

  1. B

    Hii kauli ya Magufuli sio sawa hata kidogo kwa nafasi anayowania

    jamaa anaweza akatoa amri ziwa nyasa likaushwe maji yapelekwe mtera...... akili finyu
  2. B

    TCU na Kozi za Udakitari

    Now i know the reason of why your mind is dull... It's the same reason of why you're going to cast your vote to the same system.... Doing the same thing and expecting different results is the so called '' insanity ''.. I wasted my time arguing with insane... And yet you speaking stuffs out of...
  3. B

    TCU na Kozi za Udakitari

    I thought unaweza kuelewa kwa kupewa mfano mmoja kumbe bado, okay i'll have to treat you as a kid now. Huo ni mfano mmoja kati ya mingi unataka utajiwe Canossa, Kaizirege, Alpha, Eagles n. k Wachache walikuwa na muamko wa elimu na wengi hawakupata support ya either wazazi au fedha. For...
  4. B

    TCU na Kozi za Udakitari

    Ahm nimefurahi sana kwa majibu yako. Kabla ya Mwaka 2012 matokeo ya kidato cha nne yalikuwaje? Yalikuwa ni almost sawa na ya kipindi hki !... sikumbuki ni mwaka gani but St Francis walitoa Div 1.7 kama saba, ina maana baada ya miaka miwili au mitatu mbele walimu wakaishiwa ujuzi wa kufundisha...
  5. B

    TCU na Kozi za Udakitari

    Na huyo anayemsema Mwenzake kilaza yeye ana Akili ? Naomba unijbu kwa nini unaenda shule kama una Akili. Acheni Upumbavu. Taifa haliendelei kwa kuwa na wajinga wengi wanaowakatisha tamaa wanaopenda maendeleo.. Aliyepost huu uzi anaomba ushauri, kama ulikuwa huna unakaa kimya...
  6. B

    TCU na Kozi za Udakitari

    Kama unajijua sio msomi ni bora uende kwenye thread za Mapenzi au Ujasiriamali.. Kuna watu sijui wanaAkili kwenye miguu.. Naanza na wale wanaoisema BRN... Matokeo ya miaka ya nyuma ilikuwa ni mazuri zaidi ni mwaka 2013 yamekuwa hayaridhishi.. Unadhani BRN inakupa majibu ya maswali? Mfumo...
  7. B

    Shule nzuri ya o_level ya wasichana

    1.ST Francis 2. Marian girls 3. St Mary's Mazinde juu 4.Feza girls 5.MaryGoreth 6.Kifungilo 7.Weruweru 8.Msalato And many others, I just know few of them. NB Randomly sorted.
  8. B

    Selection vyuo vikuu: Fomu ya kujiunga, taarifa za vyuo na kozi

    I told you on the other post' the way you're writing shows how illiterate you are. Mind your own business! Someone has just asked an important question and you want to mislead him😕... I doubt whether you have another work to do rather than chatting and cheating on people's posts. This...
  9. B

    Kuhusu heslb, mikopo kwa wanafunzi.

    Answers 1. PRIORITY 2.Private school both alvl and olvl 3.Neither 4.Both are alive Hapo mkopo ngapi ? :)
  10. B

    Maisha ya wanafunzi waliomaliza Algeria.

    Mkopo si wanakupa or haujitoshelezi?
  11. B

    Maisha ya wanafunzi waliomaliza Algeria.

    Thanks mkuu...ushauri mzuri
Back
Top Bottom