kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,175
- 3,218
dah ww jamaa acha mambo yako basi....huwa unanikera imebidi nicheke tu..na hii humo tena umetisha bro,
Ndugu yangu unapenda sana kunifatilia
dah ww jamaa acha mambo yako basi....huwa unanikera imebidi nicheke tu..na hii humo tena umetisha bro,
Ahsante mkuu tuendelee kuwasikia na wadau wenginehamna chochote hapo walikua wanasema hivyo lakini sio lazima ila wenye akaunti za exim ndio watakaowahishiwa hela zao nyie wengine zitakuja wiki 1 baada ya wenzenu wa exim kupata bum. Ila ngoja wahusika wa st joseph waje hizo ni taarifa za awali nnazozijua labda watakupa utaratibu zaidi
Itakuwa vizuri kama tutafahamishana taarifa mbalimbali,kwa mfano mimi nataka kujua zile joining instructions wameshaanza kuzituma kwa wanafunzi waliochaguliwa?au unadownload tu mtandaoni,maana nataka kuitumia kuomba release letter hapa kazini.
pwaaahahaha 3🙂Ndugu yangu unapenda sana kunifatilia
sio kweli mm nilifundisha pale miaka mitatu nyuma labda zoezi ilo lianze mwaka huu
mm mwenyewe nimesoma iyo kitu sina ajira mpaka leo huu mwaka wa 6 nipo tu home
mm mwenyewe nimesoma iyo kitu sina ajira mpaka leo huu mwaka wa 6 nipo tu home
Hey kwa wale wenye uelewa wa wap Joining instructions za chuo kikuu Ardhi znapatkana tujuzane tafadhal.....
wanazitumaga haraka sana , kama una uharaka nikutumie namba ya muhusika mmoja umchek??
Karibuni sana mwecau
sio kweli mm nilifundisha pale miaka mitatu nyuma labda zoezi ilo lianze mwaka huu