Kumekuwepo na changamoto ya baadhi ya daladala kusitisha route katika maeneo mengi nchini.
Mwezi wa nne mwaka 2026 nilikaa Arusha kikazi kwa karibu mwezi mzima. Nilikuwa nakaa eneo la Atomic Energy, route ya mjini kwenda Atomic Energy kupitia Nane Nane, Njiro.
Nilikuwa nikitoka na kurudi...
Usimuache kaka,mimi nimepita changamoto hiyo for 6 years tangu tufunge ndoa lakini tunamshukuru Mungu mke wangu ni mjamzito.kuna dawa za kichina alitumia mke wangu baada ya kuhangaika kwa gynecologists mbalimbali Tz bila mafanikio.Ndani ya mwezi mmoja tu baada ya kutumia akapata ujauzito.So...
Mkuu kwan mama anashindana na nani? Weken free and fair election muone kitachotokea hamtaamini macho yenu, ila kwa hali ilivyo sasa hivi atashinda Zaid ya asilimia 80
Arusha,kuna nyumba inauzwa iko Mtaa wa kalimaji,moshono karibu na round about ya east Africa ya njiro.Imekamilika kila kitu.Sababu ya kuuza ni kwamba huyo mwenye nyumba anataka akae mbali kidogo na ndugu zake . Kama unahitaji nicheki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.