Recent content by Brother

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kuburn audio CD

    TUKO BIZE KIMTINDO, bt unatumia software gani ku burn audio CD? Ili iwe rahisi kukusaidia.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Mahiri

    Vampire diary
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How to buy laptop online

    Online online 4 what purpose, Hvi kuna ki2 kinakosekana KARIAKOO?? Au hyo MASTER CARD ndo inakupa kiburi.
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tracing mobile phone

    M2 AKIIBA BLACKBERRY AU I-PHONE ANAKAMATWA SIMPLY KWA NJIA ILIYONIFURAHISHA=> Halow naitwa Janeth napiga simu toka VODACOM, wewe ni fulani fulani na namba yako ya simu ni ___ ___ , NDIO basi umefanikiwa kushinda mill1 kweny bht nasibu, thn wakamwambia afike OFISINI apo ujanja wake wote ukaisha...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apple OS X 10.8 Mountain Lion Kitu kipya hicho kinatoka wakati wa summer time

    bd unategemea mali za marehemu!? Welcome to the Opensource product Linux OS 12 ndo kila ki2.
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA: Simu yangu ya SUMSUNG GALAX 11 INANIKERA.

    Hvi kuna kampuni iliyoweza kuifunika NOKIA.. Cheki sasa hvi, Nokia Lumia ameiacha I phone 4s kwa ubora 4 35% yani kampuni nyingine vimeo! Jamii forums inashidwa kufunguka Je itaweza necta.go.tz wakati wa tokeo.
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Monitor nzuri ya 150,000, VGA Card 512MB na DDR2 2GB

    RAM DDR2 ni PM Tufanye biashara!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Bsc. in Electrical Engineering

    mh.. Haupo serious! Unataka kufanya "electrical engineering" km B.A in Laws! TENA NI COET PRODUCT. Na wasi wasi na performance yako.
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utapeli mpya wa vodacom

    Sijui na yeye alikuwa anatafuta nini kubonyeza hiyo namba huku haina promotion.. Hawa ndo wanaojisajili freemanson alfu wanasema hawakujua.
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My way: Yakukamua voda free net na kuondoka na mpaka 6 gb per day

    mh.. Haya bahna! Modem yng ya Zantel ilifungiwa kwa haya haya mambo. Sasa na hii ya voda, HAPANA.. acha 2 ni gharamike. Vya bure!!
  11. B

    JamiiForums Tanzania daka mkwanja chap chap!

    Vitu vingine sio lazima utushirikishe.. Daka mkwanja mwenyewe usepe.
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania ameshinda Apps4Africa!!

    Asanteni sana ni juhudi binafsi ndo zimenipa mafanikio
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada

    Recomendation!! Download kupitia OVI STORE ndo utapata application ambazo ni compatible na phone yako.
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashndwa kupata access ya jamii forum.

    Acha kuandika uongo hiyo BOLT browser haipo toka mwaka jana.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Feedback za nelson mandela - arusha

    duh.. Inaonyesha humu wengi mna Masterz nd PHD. Maana ajira nyingi za pale ni Masters nd PHD. Kutoa moja tu iliyokuwa inahitaji mtu mwenye "Adv diploma in computer science/IT" kama ndo ivo Ngoja na mimi nisome kwa bidii nifike Masterz. Mh... LAKINI HAPANA AU WOTE MLI APPLY AKA KA COZI KAMOJA NNI.
Back
Top Bottom