Royals
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,466
- 378
Salaam wakubwa.
Simu yangu niliyoitaja hapo juu inaninyima raha kwa kuwa kila nikiitaka inifungulie kwenye kurasa za kutoa maoni za jamii forum inanigomea kufunguka. Tangu niinunue haifunguka hata mara moja. Nimefikri kuwa kifunguo cha siri nimekikosea na nikakibadilisha lakini wapi hata haikubali zaidi ya kunifungulia pazia la kwanza na kuniambia .
karibu sana bwana Royals, ukurasa wako unafunguka muda si mrefu. Kisha kimya cha muda mrefu. Wanaojua tatizo na namna ya kulifumbua naomba wanisadie kwa kuwa nimeinunua hii ili niweze uwasiliana nanyi wakati wote na mahali popote. ASANTENI.