My way: Yakukamua voda free net na kuondoka na mpaka 6 gb per day | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My way: Yakukamua voda free net na kuondoka na mpaka 6 gb per day

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by e2themiza, Feb 12, 2012.

 1. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kama haujajua the Vodacom free internet hack nenda hapa kwanza:

  HII NI ONLY FOR REGISTERED MEMBERS.. GUESTS SORRY :(

  Then lets get to how u pull if off hehehe!!!

  Ukitaka kudownload anything and i mean anything fuata haya maelekezo kwa kina:

  kwanza weka hii proxy ip..

  ip: 63.141.241.214 port 80

  weka both mozilla na idm...

  ok itafungua epictunnel... nenda hapa http://www.filestube.com

  click advance search andika anything then scroll na chagua hii filter from megashares.com sio megashare.com but megashares.com...

  Then Italeta file lako hawa jamaa nawaminia sana kila kitu kipo TRUST me...movies, games, soft u name it na uzuri hawana ile sijui rar part 1, rar part 2... naah ni one file only... sasa ukishapata fie ulitakalo..

  then copy iyo link ina anzaga na d01...........

  sasa nenda hapa:

  during masaa yasiku always nenda hapa hii ni premium link generator lakini inafungwa mida ya usiku:

  http://www.dowwi.com wait itafunguka italeta kmessage kati kati close it na click palipo andikwa

  DOWNLOAD!DOWNLOAD!DOWNLOAD!DOWNLOAD!DOWNLOAD!

  italeta sehem uweke ur link iweke link yako hapo na click download... SUBIRI mpaka download itatokea kama haijatokea jaribu tena itatokea tu then start downloading at an icredible speed 280 - 350 KBPS kwanzia saa kumi jioni mpaka saa kumi na mbili the next day inakuwaga speed safi sana na haishuki iyo range even once....tena UZURI hii ip ina resume download so unaweza kukata na kuresume any time

  ANOTHER IMPORTANT THING!!!

  Sasa ikifika usiku na kama untaka kudownload iyo prem gen si inafungwa use this one nayo ni kali sana sema inalimit file moja lisizidi 1.3 gb hivi.. just put your link na press SUBMIT... italeta DOWNLOAD.. isipo leta retry mpaka itakubali here is the site lnk:

  http://www.linkpremiumgenerator.com

  ENJOY USISAHAU KULETA FEEDBACK MIE PER DAY NA PIGA 6 GB HAPO HEHEHE!!!
   
 2. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  duh!! dats guwd kaka
   
 3. danione

  danione Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  NGOJA NIIFANYIE KAZ............
  Thx sana
   
 4. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  It seems very complicated, bro!
  OK, fine im on my way to pm you for an assistance.
   
 5. rfjt

  rfjt Senior Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nimeweza kufika mpaka hapo pa kucopy link inayoanza na d01, lakini kwenye page ya dowwi haikutokea kmessage wala hakuna pa kupaste ile link yangu niliyocopy. Page ni nyeupe yenye maandishi ya bluu "download!download!download! niki-click hakuna kitu
  .

  Sijui nakosea wapi ?
   
 6. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  jaribu ku reload tena na ifunguke fresh mpaka uone kibox keupe kati kati close it then click download!Download alafu patatokea sehem ya kupast iyo link. UKISHINDWA KABISA TUMIA WEB YA PILI HAISUMBUI NA HAINA MLOLONGO MREFU!
   
 7. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Pia maswali kadhaa!
  1. Je, ni lazima kutumia IDM tu, managers zingine hazikubali? Coz, mi nina SoMud ambayo ni p2p
  2. Je, hii kitu ni kwa ajili ya download tu, au hata kusurf kawaida tu ni free? Coz, kwenye url pale nimewena address ya kwawaida
  nyingine hazifunguki, na zinazofunguka inakata hela. Kwa mfano nimejaribu kuweka address ya jf imekataa kufunguka.
  3. Umesema jioni wanachange, je ni jioni ya saa sangapi bro?
   
 8. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  1. Sio lazima lakini IDM IS THE BEST.
  2. Inafungua 80% of all sites haiko friendly na sites znazokuwa mainly runned na JAVA.
  3. Inakata hela coz kuna settings som wea umekosea jaribu na line ambayo haina hela mpaka ikubali then tumia yenye hela.
  4. Dowwi wanafunga mida mainly ya jioni au usiku hawasemi exactly saa ngap wanafunga
   
 9. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  mkuu thanks maana nilikuwa natafuta proxy inayo resume downloads.
   
 10. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kama kawa kama dawa lets enjoyyyyy
   
 11. networker

  networker JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  We jamaa unatakiwa uishi miaka mingi.mi nimeweza download 1.59gb kwa kutumia hyo ya premiumgenerator
   
 12. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  mkuu nimefika mpaka hapo kwa kusearch link ila napata error inasema the connection was reset while the page was loading.shida itakuwa nini mkuu?
   
 13. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  MKUU MI UMENIACHIA KUANZIA HAPA click advance search andika anything then scroll na chagua hii filter from megashares.com sio megashare.com but megashares.com... Then Italeta file lako hawa jamaa nawaminia sana kila kitu kipo TRUST me...movies, games, soft u name it na uzuri hawana ile sijui rar part 1, rar part 2... naah ni one file only... sasa ukishapata fie ulitakalo.. then copy iyo link ina anzaga na d01........... sasa nenda hapa: during masaa yasiku always nenda hapa hii ni premium link generator lakini inafungwa mida ya usiku: http://www.dowwi.com wait itafunguka italeta kmessage kati kati close it na click palipo andikwa DOWNLOAD!DOWNLOAD!DOWNLOAD!DOWNLOAD!DOWNLOAD! italeta sehem uweke ur link iweke link yako hapo na click download... SUBIRI mpaka download itatokea kama haijatokea jaribu tena itatokea tu then start downloading at an icredible speed 280 - 350 KBPS kwanzia saa kumi jioni mpaka saa kumi na mbili the next day inakuwaga speed safi sana na haishuki iyo range even once....tena UZURI hii ip ina resume download so unaweza kukata na kuresume any time ANOTHER IMPORTANT THING!!! Sasa ikifika usiku na kama untaka kudownload iyo prem gen si inafungwa use this one nayo ni kali sana sema inalimit file moja lisizidi 1.3 gb hivi.. just put your link na press SUBMIT... italeta DOWNLOAD.. isipo leta retry mpaka itakubali here is the site lnk: http://www.linkpremiumgenerator.com ENJOY USISAHAU KULETA FEEDBACK MIE PER DAY NA PIGA 6 GB HAPO HEHEHE!!![/QUOTE]
   
 14. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #14
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ok nadhani utakuwa unazungumzia iyo Dowwi: Unlimit yourself! apo ndio italeta iyo message.. sasa ni a rectangle box peleka mouse kwenye pembe ya kulia juu utaona X inatokea click it na itaclose... then continue na jinsi nilivoelezea apo juu

  Mkuu exactly wapi nimekuacha yani haujanilewa, inagoma au what happend.. ili nijue nikujibu exactly unavyotaka nikujibu
   
 15. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #15
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wakuu,nimejaribu hii kitu inafanya kazi.
  Kwa walio na maswali naweza wasaidia kwa pm.
  Tushiriane kupeana files za kudownload kwani hakuna sehemu ya kubrowse files zaidi ya kujaza wewe mwenyewe.
  OTIS
   
 16. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh e2themiza
   
 17. B

  Brother Member

  #17
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh.. Haya bahna! Modem yng ya Zantel ilifungiwa kwa haya haya mambo. Sasa na hii ya voda, HAPANA.. acha 2 ni gharamike. Vya bure!!
   
 18. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 19. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ndugu kwangu bado mambo si shwari maana nikiweka hiyo proxy id inagoma kukonnect na inanipa message hii " The proxy server is refusing connections" nifanyeje
   
 20. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #20
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  piga hii kaka....hiyo ipo offline juc 1 hr ago, 205.134.229.203 afu port 80 iweke kwenye both IDM na Mozilla firefox
   
Loading...