Natafuta kazi, nina Bsc. in Electrical Engineering

All the best ndugu utafanikiwa tu. Ila ningeshauri uwasiliane na hizi kampuni kubwa za construction.
 
mh.. Haupo serious! Unataka kufanya "electrical engineering" km B.A in Laws! TENA NI COET PRODUCT. Na wasi wasi na performance yako.
 
hajiamini na alichosomea watu wa power huwa hawaingiki so wewe unauwezo mdgo ndo maana mpaka leo unahanya mtaani. unatudhalilisha watu wa power kutoka coEt kijana futa thread
 
hajiamini na alichosomea watu wa power huwa hawaingiki so wewe unauwezo mdgo ndo maana mpaka leo unahanya mtaani. unatudhalilisha watu wa power kutoka coEt kijana futa thread

Watafute Molel elecrical contractor
 
mh.. Haupo serious! Unataka kufanya "electrical engineering" km B.A in Laws! TENA NI COET PRODUCT. Na wasi wasi na performance yako.

hajiamini na alichosomea watu wa power huwa hawaingiki so wewe unauwezo mdgo ndo maana mpaka leo unahanya mtaani. unatudhalilisha watu wa power kutoka coEt kijana futa thread

Nyinyi mpeni mchongo badala ya kumdhihaki kwani si wote kwamba kv tu ametoka CoET na electrical engineering yake ndo basi tena mchongo nje nje....si Tanzania hii, ikiwa hata hao waalimu ambao bado ni adimu ndani ya nchi hii bado huwa wanasota, itakuwa mtu wa engineering?!
 
Halafu hujatulia, waulize walioko kitaa michongo na wamekaa benchi muda gani we hata shule bado halafu unataka kazi
 
nakushauri malizia kwanza masomo yako matokeo yatoke upate angalau hiyo transcript kwanza. kwa uzoefu wangu kazi nyingi za kuajiriwa hapa bongo hata nje wanahitaji muombaji wa kazi angalau awe na transcritp kwanza na nyingine hususani taasisi za kiserikali wanahidaji vyeti na sio transcript. Hata hivyo kwa fani yako ukimaliza unaweza kupata kazi za muda mfupi kwenye taasisi binafsi za ukandarasi zinazojishughulisha na mambo ya ujenzi wa majengo, lakini kwa mshahara mdogo. Kwa sasa nakushauri tulia malizia masomo, sometimes mambo mazuri hayaitaji papara. manake kozi yenu nasikia watuwanadisko hata kwenye semister ya mwisho, soma umalize kabisa na ufaulu ndio uwe injinia kamili ukiwa na vyeti vyako
 
Back
Top Bottom