Recent content by Brother Hemedi

  1. Brother Hemedi

    Biashara ambayo inaweza kufanyika Masasi mjini Mtwara

    BIASHARA YA SAMAKI, Chukua samaki Kilwa kauze Masasi.
  2. Brother Hemedi

    JE,UNAHITAJI BLOG NJOO NIKUTENGENEZEE LWA TZS 5,000/=

    Nakutengenezea blog ya wordpress, au blogger kwa gharama nafuu ya tsh 5,000(elfu tano) tu. Utafanyiwa settings zote muhimu na kuwekewa logo,bila ya kuongeza pesa yoyote. Utapatiwa maelezo ya awali ya jinsi ya kuiendesha blog yako. nitext 0768449989 Blog utaifanyia nini? Blog iki wa kama...
  3. Brother Hemedi

    Msaada Biashara nikiwa chuoni

    Tembelea www.amkamtanzania.com kuna makala ndefu inaelezea "Biashara ambazo mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kufanya bila kuathiri masomo yake".
  4. Brother Hemedi

    Wanaolalamika kwamba TCU imepandisha madaraja ya kwenda Vyuo Vikuu hawana vigezo

    Wamewadidimiza wanafunzi wa sayansi,Wana akili gani hawa?
  5. Brother Hemedi

    HESLB 2016/2017 ni kitendawili.

    Ahsanteni kwa kunifahamisha
  6. Brother Hemedi

    HESLB 2016/2017 ni kitendawili.

    It's my Hope Kuwa mpo poa wanajF. Inafahamika wazi kuwa HESLB( BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU),Tarehe 24/June/2016 Walitoa TANGAZO Kuwa tar 27 June,wataanza kupokea Maombi ya mikopo, Unfortenatly Mfumo Ulikuwa Unasumbua. JE,NI TAYARI WAMESHAREKEBISHA AU BADO? Aulizaye ataka...
  7. Brother Hemedi

    Je M-pesa za Kenya & Tanzania zinaweza kutumiana pesa?

    Naomba kufahamishwa please! Je,M-PESA YA KENYA inaendana na M-PESA ya Tanzania? je naweza mtumia fedha mtu aliye Kenya au yeye anaweza kunitumia mimi?
  8. Brother Hemedi

    Ni kweli watakaopata mikopo Chuo Kikuu mwaka huu ni waliopata Division 1 & 2?

    ANGALIZO, NIMEPITIA GUIDELINES ya heslb VIZURI,SIJAKUTA HATA SENTESI MOJA,INAYOASEMA KUWA UKIPATA DIV 3 HAUPEWI MKOPO.
  9. Brother Hemedi

    Ni kweli watakaopata mikopo Chuo Kikuu mwaka huu ni waliopata Division 1 & 2?

    SIO KWELI, Bali kwa wale wanaotaka kusomea program za afya tu ndio lazma wawe na Div 1 or 2.ila progra nyngne kama Education,law, ICT,Environment,agriculture n.k hata ukipata div 3.unapata mkopo. Source www.heslb.go.tz
  10. Brother Hemedi

    Kama umechaguliwa Ndanda Boys soma hapa

    NDANDA BOYS HIGH SCHOOL 1.Advance only 2.Location ipo mkoa wa mtwara,wilaya-Masasi,kata-Mwena. 3.Ni shule nzuri kimiundombinu ya majengo,saman, n.k 4.Huduma ya maji Uhakika,umeme TANESCO + Solar power so fulltime. 5.Kuna walimu 37,registered,na watempo wapo. 6.Kuna tahasusi(wengne wanaita komb)...
  11. Brother Hemedi

    Natarajia kuoa mwaka huu lakini kuna katabia haka mtarajiwa anacho

    Mtarajiwa anatoa majibu ambayo yananiweka njia panda. Yaani naweza kusikia skendo mbaya kuhusu yeye nikimuuliza ananijibu "Hakuna kitu". Kwa wazoefu, jibu hili lina maana gani? Kwanini asijibu "hapana" kama hajafanya hlo nnalomshutumu? Msaada tafadhali
  12. Brother Hemedi

    Ushauri kabla sijanunua gari aina ya RAV 4 L (5 Doors)

    Nataka kununua gari ka kutembelea,Toyota RAV 4 L (5 Doors). Vipi kuhusu changamoto zake,maana kuna mtu amenitonya kuwa RAV 4 L haziwezi safari za muda mrefu e.g[Dar to Mtwara or Dar to Iringa.] MSAADA TAFADHALI.
Back
Top Bottom