Nasaidia ambao hawajaapply vyuo kupitia CAS-NACTE

Nasaidia ambao hawajaapply vyuo kupitia CAS-NACTE

mayestee

Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
97
Reaction score
32
Kwa wale wote ambao hawajaapply nacte na ana vigezo vyote
natoa msaada wa kujitolea ila uwe na vtu vyote vinavyohitajika
mawasiliano 0766414834(whatsapp)
 
ni bure kabsa najitolea hata kama hauna email ntakufungulia ili mradi nkusaidie maana tunapita tu kwny hii elimu mwnyw napita hukohuko cyo vzur kumuacha rafk ang ateseke
 
Nauliza kwa mm wa Tcu ivi ukishamaliza kujaza form na uka print out ndo utakuwa umemaliza kuapply chuo???
 
yeah sam97 ukishaprint faculties zako na vyuo ndo utakuwa tayar umemaliza subir kuchaguliwa tu bro
 
Mkuu Mimi mdogo wangu kasahau account Yake ya nacte Bali anakumbuka password naweza fanyaje kuipata account yake
 
hapo dancher
MBNA ni kitu rahisi ili dogo aweze kufungua profile yake pale vtu viwil vinahitajika kama kwl alikuwa na account tayar
moja ni username na mwisho ni password na unalogin
sasa kama password anayo basi kwny username aandike no yake ya mtihan ya kidato cha NNE akimalizia na mwaka aliomaliza mfano S2366/0011/2013 umeona bro AF alogin
akishindwa hlo aangalie kwny email yake aliyotumia kufungulia account achek kwny spam message ataona username yake pamoja na password
ikishindikana wacliana na nacte kwa msaada zaidi
 
Mkuu ni jambo jema ulilolianzisha
Me naomba kujuzwa juu ya hii ya kuhusu walioapplay ualimu diploma je kama hauko selected unafanyaje na wamesema usibadilishe machaguo wakat mwisho wa application ni tr.5.8.2016 Mimi ni muhanga
 
Kamanda naomba link ya tcu na nacte kuna mdogo wangu anatakiwa aombe and nisaidie requirements anazotakiwa awenazo
 
Wakuu naomba msaada naitaji kufany maomb diploma vyuo mbalimbali mfano UDOM kupitia nacte lakin kweny guide book yao haijataja diploma za vyuo hivyo
 
Kwa wale wote ambao hawajaapply nacte na ana vigezo vyote
natoa msaada wa kujitolea ila uwe na vtu vyote vinavyohitajika
mawasiliano 0766414834

Samahani naomba msaada wako najaribu kufungua website ta TCU lakini inakataa nifanyeje naomba msaada wako please au contact za TCU kama ikiwezekana.
 
niwekee link ya kuingia TCU kuaplly mkuu...najaribu kuingia inagomaaa...
 
Back
Top Bottom