Ndo maana nakuita mnafiki, unataka kuwa na hela zako na kuwa independent na mume (ni sawa, sina shida na hilo lengo), lakini bado unataka kula hela zake pia. Mtu kama wewe utakosa kabisa mume maana hakuna mtu atakayekubali mawazo kama haya. Either uchague maisha ya kisasa ambayo kila mtu ana...