Miye siku mumewangu akinipiga kibao naskiaa raahaa najua kweli ananipenda loh! Tupigwe tuu!!
roger
nimeghairi kununua kanga, nitatumia kiganja.
over.
Miye siku mumewangu akinipiga kibao naskiaa raahaa najua kweli ananipenda loh! Tupigwe tuu!!
nahisi siku mume wangu akinipiga nitamwangalia kwanza usoni kuangalia kama kuna dalili ataendelea au anajutia kunipiga, nikiona anampango wa kuendelea.....nitajua ipo siku atarudia tena
naona hapa mnazungumzia mke na mume tu, je kwa wale wenye girlfriend nao wanaruhusiwa kuwapiga au ndio mpaka wawaoe
ndo nani huyo?? Loh!
nahisi siku mume wangu akinipiga nitamwangalia kwanza usoni kuangalia kama kuna dalili ataendelea au anajutia kunipiga, nikiona anampango wa kuendelea.....nitajua ipo siku atarudia tena
Kwahiyo mzee akaeleza mwanamke kuna wakati unaweza ukalazimika kumpiga ili pengine anaweza kuona ni namna gani umekelwa na kosa alilotenda na ungependa abadilike, lakini akalazimika kuelezea namna mwanamke anavyostahili kupigwa ili isije ikatokea ukaua kama nilivyohamaki kumjibu pale juu. Anasema unamlaza alalie mgongo kisha wewe unamkalia juu maeneo ya kifuani na tumboni na mikono yake unaipitisha chii kati ya mguu wako na ubavu wake kila upande, kisha kwa kutumia vidole vyako unamfinya unamfinya unamfinya vya kutosha kwenye mapaja ya miguu yake mpakauhakikishe anaanza kupata arama nyekundu hivi huku ukimwelewesha yale usiyoyapenda uone akifanya ili kudumishandoa yenu, na mwisho alisisitiza ukishamaliza zoezi hilo basi usiondoke mpaka umchape nao limoja hivi ndiyo ugomvi unakuwa umeishia hapo!.
kwenye nyekundu nimecheka sana
Hapa mkuu nakupinga, Inagwa sipendi kumpiga mke wangu ila ikitokea akaniudhi nikamuonya zaidi na zaidi lazima spo siku atakula vibao! Kumpiga ni sehemu ya upendo pia unamuonyesha kuwa ni njisi gani unataka badilike hata kwa nguvu ila hauko tayari kumuacha! NB. Usije ukatembeze ngumi na mateke kwa visingizio vya upendo!
Kwa kifupi mwanamke ni kama mtoto, unamuelekza wee, unarudiaaaa, ila ukiona haelekei unamchapa vibao halafu unampa pipi taaaamu, anasahau kuwa ulimchapa mnaendelea vizuuuri halafu baadaae akitaka rudia lile kosa anakumbuka kichapo anaacha.
Hujasikia, Kuna wanawake wanaanzisha zogo ili aone utachukua hatua gani? So Kichapo kwanza halafu inapigwa mechi ya nguvu ataikumbuka hata miezi!
Sasa ni kumpigaa ganii ukoo sikugegedanaa ukoo duuh aiseeh. Boraa turudi tu analogi maanaa digitaly izi zinaa tuleteaa mawengee matupuuu koh koh?