😂 aisee ila haya maisha, kuna muda nawaelewa watumishi wanaojiona makazini, sababu mambo ni magumu sana kwa ground ukiwa hauko kwenye mfumo tayari
Unakuwa unahisi dunia yote umeibeba wewe, unakuwa unahisi umebaki peke yako inakulazimu uchungulie kwenye portal kila muda kuona kama kuna miujiza...
Dah natamani na mimi ningekuwa nasubiri pdf kwa shauku ila oral ya April nilizingua vibaya mno mle ndani nahisi panelists walinicheka sanaa nilivyotoka😁😁😁
Mwanaume hana pressure ya umri wewe, Kuna jamaa wako kwenye 50's wanakula maisha hao vijana hawaoni ndani...
Mfano mzuri Maulid Kitenge yule jamaa ana drip hatarii, mitoko yake we huoni ndani na ukikaa vibaya na kidem chako anakuchukulia, au Jakaya Kikwete yuko kwenye 70's ila nina uhakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.