Recent content by broda

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hili suala la Benki kuweka wazi taarifa za fedha za mtu kwenye sakata la Mwanza limekaaje?

    Ha ha ha ha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Pride wanataka kudhulumu haki za wanyonge

    Yani jamaa wanajifia taratibu, nna wana wawili hawajalipwa mwaka wa 3 Sasa, na jamaa hawaelewi itasomeka lini
  3. B

    JamiiForums Tanzania AG anayetuhumiwa na Rais kuchakachua sheria iliyopitishwa na bunge ni nani? Kwanini hajakamatwa?

    Japo AG ana powers za kisheria kufanya hivyo, soma sheria inaitwa the Laws Revision Act,
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kuchakata Alizeti

    Mi nimefunga mwaka jana na inapiga kazi vizuri sana
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kuchakata Alizeti

    Njoo inbox mkuu, nikuelekeze kila kitu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Albamu bora ya Kanisa Katoliki

    Kaka kama naeza pata hii album au baadhi ya nyimbo zake pls... Ninao m1 tu, Nakushukuru Baba... Tuwasiliane I can pay a token bro
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna tofauti ya Serikali ya Mwl Nyerere na ya Rais Magufuli

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwaresma 2018 Special thread...

    Kwa kuongezea, hua katika kila vigilia ya pasaka tunajikumbusha ubatizo kwa kurudia viapo vyetu hivyo ukubwani viapo vinaendelea kukaziwa hadi mwisho wa maisha ya mtu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    The same na kwangu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

    Nilichogundua kwa story yako ni kwamba umevutiwa na historic ya mafanikio ya kibabajaji jinsi alivyotoka chini mpka Jun na uwezo wake WA kusimulia hio historia. Sijaona chochote cha kusema jamaa ni kichwa, hujasimulia ukichwa wake upo kwenye kitu gani zaid ya taarabu ya kuponda wasomi! Mayalla...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Swali: Ni kitu gani kwenye mwili kikipimwa huwa kinathibitisha mtu kufariki?

    Hii ndo kupima vital signs
  12. B

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

    Huyu jamaa tukiwa Mzumbe chuo pale mkwawa room No. 221 na rafki yangu tunaskiza ile bread and butter tukawa mashabiki Sana wa hili kundi mpka leo. Inasikitisha sana, nimeshinda naskiza nyimbo zao home na kwenye gari...RIP...kifo aisee ni noma. Pole Chinavach shabiki wa nguvu pole na Weasel. Kila...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Anajiandaa kuchukua jimbo la Lema, anataka awepo kwenye headlines daily, kaeni chonjo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mkasa Wa Kweli : Yamenikuta Salma Miee

    Aisee, kuna fundisho kubwa sana hapa
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rasmi Apple yainunua App ya Shazam kwa bilioni 897.58

    Hio Shazam inatambua nyimbo za kizungu tu, nliifutilia mbalii
Back
Top Bottom