Recent content by BRO SANTANA

  1. BRO SANTANA

    JamiiForums Tanzania Saa moja ya 'mapambano' mimi na waliojitambulisha kuwa ni Polisi

    Wewe ni kichwa narudia tena kwa sauti wewe ni jeneous. Umenifundisha kitu kikubwa sana
  2. BRO SANTANA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuchagua jinsia ya mtoto

    Makofi kwako tafadhali. Huyo boya huko juu ameingiza watu chaka mbaya. Mimi nilicheza game siku ya 12 nimetoa bonge la binti chotara fulani hivi amaizing. Sema ana miaka 3 sasa nimeagiza dog aina ya Germany sheffed maana utopolo sio watu.
  3. BRO SANTANA

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa watangazaji wa ITV

    Mtoa mada ndio mshamba kabisa
  4. BRO SANTANA

    JamiiForums Tanzania More Money, More Problems - Ushindi wa Bilion 50 ulivyosababisha kifo chake

    Endelea fasta utamu unakata
  5. BRO SANTANA

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu wengi hawajui kama wanaumwa meno

    Kuna hospitali hapa Mbeya wanajiita mabingwa wa meno lakini walichonifanyia. Jino limetoboka linauma wananisafisha na wananipangia tarehe ya kurudi kusafisha tena. Nimerudi kusafisha zaidi ya mara 8. Mpaka hela yote ambayo ni limited kwenye bima imekata. Mpaka sasa naandika jino linauma...
  6. BRO SANTANA

    JamiiForums Tanzania Kisa cha ajabu cha mabinti wawili waliopotea katika mazingira ya kutatanisha

    Daaaa stori imepangiliwa vizuri mpaka naitwa na wife mara 8 nipo nae sebuleni lkn sijasikia. Stori imetulia hongera sana uliyeandika. Weka namba yako upate lunch
  7. BRO SANTANA

    JamiiForums Tanzania Ukitumia WhatsApp Web unaweza kuwatoa jela wanaume wote waliouwa wapenzi wao kwa wivu. Ukiwa na mamlaka hayo

    Msaada wa namna ya kusoma hizo msg ndugu na mimi nianze u FBI
  8. BRO SANTANA

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

    Aisee achana na huo moto wa tiger cage
  9. BRO SANTANA

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

    Itakuwa inaitwa TIGER CAGE
  10. BRO SANTANA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Arusha Mjini: Lema Vs Gambo; Lema atashinda mapema mno

    Wananchi ndio watakao amua.
  11. BRO SANTANA

    JamiiForums Tanzania Karibu upate magodoro ya Kampuni mbalimbali

    Kusema ukweli nimenunua godoro Dodoma inch 8 mwaka juzi 5x6 yani ni ovyo. Ukilala shimo halirudi juu tena. Yani nagombana na wife kila siku kisa alinishauri ninunue comfy mimi nikawa mbishi sababu comfy tumetumia sana nikasema tubadilishe brand kumbe nimejiroga. Godoro Dodoma kwa sasa ni fake tu...
  12. BRO SANTANA

    JamiiForums Tanzania SpaceX wanazidi kuirudisha heshima ya USA katika masuala ya Space exploration

    Hakuna kitu napenda kama mambo ya anga. Yani bando linateketea hasa Allah kariim
Back
Top Bottom