Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 726
- 1,850
Ndoa nyingi zinavunjika hazifiki mbali kwasababu ya kukaribisha ndg majumbani na kuwaweka karibu sana marafiki . urafiki na undugu uwe na mipaka sio wajue hadi mambo ya familia yako hata baba yako na Mama yako kuna mambo mengine hawatakiwi kuyajua.kuoa ni utu uzima sio unatumia mawazo ya wazazi wako kuendesha familia yako.