Recent content by Bro Mesh

  1. Bro Mesh

    Wataalam wa computer

    hio solution ni ndefu sana chakufanya zima kupress power button and then iwashe halafu press f8 ili iwake kwenye safe mode hapo halafu nenda kwnye button ya window type system restore halafu chagua lini ungependa system yako i restore data chagua tarehe kabla ya hilo tatizo kutokea and then...
  2. Bro Mesh

    Kukosa chuo

    WAHI UKICHELEWA UTAJIKUTA UMETUPWA HUKO UDOM:behindsofa::behindsofa::behindsofa:
  3. Bro Mesh

    Computer eng. V/S Telecom eng.

    Hamna cha computer science,IT na ICT utofauti wake jina tu nakwambia tena umespma computer science ila bado ni mburula hata window yenyewe ku install shida hiyo configuration ya switch itakuwaje.Watu waliosoma hyo computer science wengi halafu some of them hamna kitu.Mi nakushauri dogo kama...
  4. Bro Mesh

    NHC ni bomu litalolipuka ndani ya miaka miwili hadi mitano

    Na shamba kubwa ukanunua na kagari kakupekea watoto shule.Ni ukweli hai ingii akili nyumba milion 50 hapo kama ni mimi nibora 10ml na buy kiwanja na 20 ml najenga na kumaliza kila kitu na 20ml iliyo baki ni kwaajili ya biashara
  5. Bro Mesh

    Taarifa ya Jeshi la Polisi kuelekea sikukuu ya Eid - el - Fitr

    Kubwa zima ovyo kweli unakiria kwa makalio nini?Eti waliofunga ni maalshabab duh hyo mpya:wacko::wacko:
  6. Bro Mesh

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Unatetea upuuzi wewe hapo ni wazi kuwekana ndo mpango mzima.Usha ambiwa asilimia kama 80 na hvi niwatoto wahao walioko hapo so kipi unacho bisha. Au ndo CCM oyeeeeeeeee
  7. Bro Mesh

    Msaada: Ninazo sauti na picha ya video za maofisa wakiomba na kupokea rushwa

    Dawa ni moja tu jamani hii rangi ya kijani ni kuitupilia mbali we need changes sasa tumewachoka shuani
  8. Bro Mesh

    Kozi ya afya niliyochaguliwa inanichanganya...

    Nenda arifu kasome elimu ni mtaji ila majungu si mtaji so usisikilze majungu
  9. Bro Mesh

    Naomba ushauri: Nilipata math D, physics D na Geography C, watanikubalia?

    Utakuwa umefaulu hlo somo ila kumbuka D siyo credit pass bali ni pass ya kawaida ila C ndo credit pass so muulize fresh hyo swahiba ili nawe ufanye kama yeye alivyo fanya kama anamjomba wake au nani wake huko baraza mwabie hiii ndo tanzania yetu bana
  10. Bro Mesh

    Naomba ushauri: Nilipata math D, physics D na Geography C, watanikubalia?

    Dah hyo noma arifu muulize katumia janja gani huyo rafiki yako ili nawe utumie maana PCB ina hyo grade ni noma chali anguuu
  11. Bro Mesh

    "MIRUNGI" ni Biashara huria Moshi na Arusha??

    Yani akiiddeferea na macho yake maudenda hayo mwaaaaa!!!!!!
  12. Bro Mesh

    Msaada: Manyara National Park

    Nakutakia safari njema na hongera kwa kujali utalii wa ndani MZEE.Mimi iko penda sana mimi kuna vivutio vya mbuga za Tanzania iko vutia sana bana.
  13. Bro Mesh

    Msaada: Manyara National Park

    kuhusu bei usihofu arifu download hiyo document ya tanapa nlio attach hapa kuhusu gharama mambo yote utayapata humo.
  14. Bro Mesh

    Trafiki polisi wa kike Linda Okelo sasa apewa onyo la mwisho kuvaa sketi fupi

    Ime editiwa hiyo mambo ya adobe photoshop hapo uhuru anaoongea huyo mtoto mdogo wakike.Ukiangalia vizuri utaona hyo picha ya askari ambayo ime editiwa imemfunika huyo mtoto mdogo tena ka kike.Halafu huyo askari na jinsi uhuru alivyo simama yani kuna utofauti mkubwa sana yani...
  15. Bro Mesh

    Somalia yatajwa kuwa nchi mbaya zaidi duniani kwa kina mama na watoto

    Yap!Dat true arifu halafu wengi wwao hao hapa ni manaswara so dont argue with them TANSOMA .
Back
Top Bottom