Ingekuwa wakimtoa andaondoka tu..wangekuwa wameshamuondoa...ukiona bado yupo itakuwa sio kwa matakwa yao bali kushindwa kutimiza malipo makubwa yanayotakiwa kulipa kwa kuvunja mkataba.
Kiafya:
1. Kama ulivyouliza..tunatakiwa kwa siku tukae/tufanye mazoezi ya mkaa wa Asili/mchumao/kama tulivyokuwa watoto(wajapan wanafanya hivyo kwa sana).
Kwa vile, hayo mazoezi hatuyafanyi basi tutumie vyoo vya chini ili zile dakika za kujisaidie ziwe kama mazoezi ya kuimarisha magoti na...
Hayo makabila yanayotoa hizo antena kwa Imani ya kupunguza mihemko/nyege kwa wanawake wao/kuzuia umalaya.
Hiyo antena ni sehemu muhimu sana kwenye kufanya Mwanamke aridhike iwapo itageuzwa na kuguswa au kusuguliwa ipasavyo.
Hivyo, kwa kuiondoa hiyo Antena inamfanya Mwanamke kutoridhika hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.