Recent content by Brightson7

  1. Brightson7

    Kwa comb ya HGL Chuo naweza kusomea nini?

    Ss c tunawaza ya mbeleni jmn sio tunasoma tuu hatujui tuendako
  2. Brightson7

    Kwa comb ya HGL Chuo naweza kusomea nini?

    Oya washkaji nisaidieni niko form 6 namaliza mwakani niko tahasusi ya hgl lkn sijui chuo niende na cozi gani ukiachana na law, naombeni msaada wenu apo wa cozi zenye fursa nyingi
  3. Brightson7

    Combi ya HGL ina fursa gani huko mbele?

    S Shukran kaka apo nimekuelewa vizuri
  4. Brightson7

    Combi ya HGL ina fursa gani huko mbele?

    Wadau mimi nilikua nauliza ukisomea combi ya Hgl huko mbele kuna fursa kama zipi?
  5. Brightson7

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Duh nimejifunza kitu kipya apo
  6. Brightson7

    Series (Special thread)

    Thanks bro
  7. Brightson7

    Series (Special thread)

    Owa wazee kuna season gan kali yenye mitindo kama ya Bel Air maana Bel Air ni kali kinoma
  8. Brightson7

    Laurence

    Pw
  9. Brightson7

    Laurence

    Oya wadau vp nlikua naomba muv za martin Laurence mnazo zijua
  10. Brightson7

    Natafuta simu nzuri kwa 250k

    Embu tuone camera yake
  11. Brightson7

    Natafuta simu nzuri kwa 250k

    Wakuu naombeni ushauri kwa simu nzuri yenye ram kuanzia 3 lakini bei yake iwe ni 250k lakini isiwe Tecno.
Back
Top Bottom