Hapan ni tunasubiri kuanza mafunzo ya jeshi la uhifdhi so hatujasain chchte tumeambiwa tu tutaarifiwa wakiwa tyr so hakuna jinsi tuko na barua zetu mtaa
Mim nimelamba asali mwez wa 7 nipo lkn nipo mtaan na barua yangu nasubri kuanza kazi so am talking from experience lkn lets not expose hio taasis ila maisha ndo hayo wakuu serikali yetu hii tujue kuishi nayo tu
Kaka hakuna chek namb wala nn yaan na wameongeza idadi ya watu wanazidi kuita kazin kuchukua barua wanapeleke document then hvy watapigiwa simh hadi hv sasa kwahy bila uvumilivuu hii nchi ngumu sana
Bongo bhana just imagine watu wamelamba asali taasis x toka mwezi wa pili baada ya kupeleka information zao zote mpk sasa wanasubiri kuanza kazi hii nchi bila stamina utoboi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.