Recent content by Brex2

  1. Brex2

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa World Cup 2026 ni Uingereza. Three Lions

    Afike finali kwanza ndio tujadili hapa
  2. Brex2

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Special sisi wakubwa tu siku zote.
  3. Brex2

    JamiiForums Tanzania Kuna utaratibu wa kufuata ukitaka kuanzisha App Tanzania?

    Wamekuchaji 7.5M kutengeneza app tu?
  4. Brex2

    JamiiForums Tanzania Kuna utaratibu wa kufuata ukitaka kuanzisha App Tanzania?

    Ahaa kwa hiyo kufungua app na kuiweka playstore haiwezekani bila kodi za serikali au?
  5. Brex2

    JamiiForums Tanzania Natafuta chimbo nzuri la kariakoo la saa, jewellery, accessories

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema na kamtaji changu cha 1M hapa. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza saa ,accessories, jewellery kwa anayefahamu machimbo mazuri zaidi naomba tusaidiane
  6. Brex2

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ulongoni A, Kinyerezi tuna changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara

    Poleni sana, mimi nikajua kinyerezi umeme haukatiki maana nampango wa kuhamia huko.
  7. Brex2

    JamiiForums Tanzania Mentality hii ndiyo iliyowakomboa wachaga kibiashara

    Min me kweli we active member of all time
  8. Brex2

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

    ngoja tuone
  9. Brex2

    JamiiForums Tanzania Utofauti ya watu wa Dar na watu wa mkoani ni huu

    Yote hayo sababu ya utandawazi mke wa kitandawazi,baba wa kitandawazi na mtoto wa kitandawazi hapo ukarimu hauwezi kupatikana.
  10. Brex2

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Good luck Gozbert kuchoma gari angeanza na kujiuliza maswali yafuatayo

    Subiri kwanza maisha ya mfunze
  11. Brex2

    JamiiForums Tanzania Ipo Siku Nitakuwa wa Kwanza Kuanzisha Kampeni ya Kuwakomboa Dada Zetu Wanaojiuza: Nitafanya Hivi

    Sawa vzr ila ngumu kumbadilisha mtu tabia
  12. Brex2

    JamiiForums Tanzania Nataka kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya nchi

    Nani
  13. Brex2

    JamiiForums Tanzania Nataka kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya nchi

    Nitarudi mambo yangu yatakapoo kaka sawa
Back
Top Bottom