Recent content by brevars

  1. brevars

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Aiseeee katika uzi Bora niliowahi kusoma humu jamii forums huu uzi ni kiwango sana inaleta hamasa hongera Kijana mwenzetu..nimejifunza nitachukuwa hatuwa
  2. brevars

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Tundu Lissu?

    Aliyekwambia tundulisu mzalendo ni nani umempamba paka umepitiliza mmmh
  3. brevars

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari ya majukumu wakamalia poleni na majukumu ya kuendelea kumsaka kanjibai..tupo pamoja maafisa ubashiri ninaomba mwongozo jamani namna ya kuweka hela kwenye APP ya 888staz msaada tafadhali kwa mwenye kujuwa anipe mwongozo.......
  4. brevars

    JamiiForums Tanzania Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

    Kiukweli mkuu hili ni swali fomu na wengi wanalikwepa kikawaida ukimuuliza mtu wewe ni nani atakutajia Jina lake na laubini.mfano umevaa shati huwezi sema wewe ni hilo shati lile shati limetumika tu kukufunika..wewe ni nguvu wewe ni Roho nikitu ambacho hakifi. Huu mwili umekubeba wewe wa ndani...
  5. brevars

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Barikiwa mtumishi wa MUNGU kwakweli umenijjbu vizuri sana
  6. brevars

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Asante sana mtumishi kwa ufafanuzi mzuri ninekurlewa ubarikiwe sana
  7. brevars

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Kwakweli watumishi nimebarikiwa sana na mafjndisho yenu MUNGU zaidi kufatilia kwa kiwango vya juu zaidi...mimi nina swali Mwalimu 7seven na wengine tumezowea na imekuja kama ni utaratibu katika jamii.Kama mimi nina kuku wangu au mbuzi ninatska kuchinja claims nimuite muislamu aje...
  8. brevars

    JamiiForums Tanzania Je, kila nafsi itaonja mauti?

    Sijakupata mkuu hebu jazia nyama kidogo
  9. brevars

    JamiiForums Tanzania Je, kila nafsi itaonja mauti?

    Wadau, habari ya majukumu bila shaka muwazima wa afya, kama na wale wenye changamoto ya afya, niwaoe pole. Bila kupoteza muda, twende kwenye mada husika. Hili neno "kila nafsi itaonja mauti," kiuhakika, halijaandikwa kwenye Biblia. Nadhani ni utashi tu wa mwadamu ameamua kutumia hili neno. Sasa...
  10. brevars

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba anahitajika umri 22-25

    Naitwa Erick nipo Dodoma, natafuta mpenzi. Aliye-serious karibu tuyajenge inbox. Sichaguii dini kabila elimu au kipato kipaumbele kwa waliopo Dodoma.
  11. brevars

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba umri 22-25

    Mimi ni me kama mpunga upo wa kutosha
  12. brevars

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba umri 22-25

    Waungwana kama kichwa cha somo kinavuojieleza hapo. Mimi ni nipo Dodoma nahitaji mchumba umri 22-25. Kwa aliye tayari karibu inbox tuyajenge zaidi.kipaumbele kwa walioko Dodoma sichaguwi dini kabila elimu wala kipato aliye tayari karibu tuyajenge..
  13. brevars

    JamiiForums Tanzania Kanuni za mpira tulipokuwa watoto

    Hairuhusiwi kucheza na viatu pia ikiwa mkubwa huchezi labda muwe wawili mmoja timu hii na mwingine timu hii..mwenye mpira ndo anaamuwa sabu zote hupaswi kumnyima pasi mwenye mpira hata kama kazungukwa na maaduwi.
  14. brevars

    JamiiForums Tanzania Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

    Chamsingi pambania kombe si kila aliyetoboa katoka kwenye kiyoyozi,piga kazi jimeki ukiona umepata unachotaka unarudi town uzuri wa kijiji chochote kile hakuna bajeti kubwa sana labda uwe mlevi..ukisema urudi town utaferi mana toka umekaa town hujawekeza chochote ukirudi unakuja kuanzia...
  15. brevars

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani maafisa ubashiri tunapoweka code tujitahidi kuweka na kampuni ili kuokowa muda unakuta mtu anaenda 1x bet,inagoma anaenda sportybety kumbe ni betpawa
Back
Top Bottom