Recent content by Brbm

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wandugu

    Shula?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Unapokwenda kuhubiri Injili Uhayani hili neno litumie kwa hekima

    Imana ishimwe?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mnafanyaje?

    Naombeni mnisaidie jinsi mnavyofanya mfano mtu kapost thread yake halafu mtu anareply lakini maneno ya post ya kwanza yanajitokeza yakiwa na kwe kivuli chenye rangi.Kama bandugu tupeane maujuzi namna mnavyofanya hasa kwe simu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mr Paul - Ndani ya Love (2002)

    Ingia google andika 'mzibo net-mr paul'
  5. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Una ubaguzi wa mikoa mbona?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada Wakuu, Ni Wapi Nitapata Mercury!!!

    Nicheck kwe 0715255179 kuna mzee mmoja anayo ila ni liquid form
  7. B

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi "Waite" Mrisho Mpoto

    Nimekuelewa sana siku nyingine ukija njoo na 'salaamu kwako' ya huyo huyo jamaa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Napenda kufahamu maneno haya kwa Kisukuma na Nyamwezi

    1Ng'wenhwa ndege 2.Makono malonja 3.Manhya melu 4.nzoka yi henge 5.nso bhuhemba 6.nsumba ndoto 7.Mbiti ya njingi 8.mlolansaa 9.sheja mabhu 10.Lugwisha helu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Mwalimu wa Kigoma msingi anatafuta wa kubadilishana nae atoke kati ya wilaya hizi:- 1.Sengerema 2.Bunda 3.Misungwi 4.Ukerewe 5.Chato 6.Geita-wilaya zake zote kwa aliye tayari mcheck kwe 0718347136
  10. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu wa Kigoma idara ya msingi anatafuta mtu wa kubadilishana nae atoke kati ya wilaya hizi:- 1.Sengerema 2.Ukerewe 3.Bunda 4.Misungwi 5.Chato 6.Geita-wilaya zake Kama uko tayari mcheki no 0718347136
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tubadililishane ujuzi na uelewa hapa

    Nashukru sana kwahiyo kama imeandika 3 gp haiplay kwe deck?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tubadililishane ujuzi na uelewa hapa

    Kuna ki-deck fulani hivi nilikachukua hivi majuzi ili nikatumie sehemu fulani katika mishe zangu lakini tatizo ni kwamba ukiweka USB na Adapter kanasoma Audio na Emage video haionyeshi.Sijui tatizo nini maana mi hizo issue za kutumia USB sijui adapter nilikuwa sizitumii sana ila vijana nilokuwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada-Nimekamata Mwizi

    Nawashukru kwa ushauri mliompa ila simu haipati na hiyo mitego yenu ya kitoto mnayomdanganya amkamate nani? Mtu mwenyewe ana papara kama nini
  14. B

    JamiiForums Tanzania SOMA HAPA:ni muhimu kwangu na kwako

    Jamani hebu mwenye kujua tarehe ya mwisho kupeleka barua za kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu kwenda TAMISEMI ni ipi anijuze pia majina ya waliokubaliwa kuhama mara nyingi hutoka mwezi gani anijuze.Tafadhari nisaidieni hili maana kuna mdogo wangu yuko kwe process.Ahsanteni
  15. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani mwenye kuelewa tarehe ya mwisho kutuma barua za kubadilishana vituo TAMISEMI anijuze pia na majina yanatoka lini ya wale waliokubaliwa kubadilishana
Back
Top Bottom