Kuna ki-deck fulani hivi nilikachukua hivi majuzi ili nikatumie sehemu fulani katika mishe zangu lakini tatizo ni kwamba ukiweka USB na Adapter kanasoma Audio na Emage video haionyeshi.Sijui tatizo nini maana mi hizo issue za kutumia USB sijui adapter nilikuwa sizitumii sana ila vijana nilokuwa nao ndo wakanipa hayo mambo.hebu mwenye uelewa anijuze japo kwa kiduchu