Hivi nyie mnafanyaje?

Brbm

Member
Apr 16, 2014
71
0
Naombeni mnisaidie jinsi mnavyofanya mfano mtu kapost thread yake halafu mtu anareply lakini maneno ya post ya kwanza yanajitokeza yakiwa na kwe kivuli chenye rangi.Kama bandugu tupeane maujuzi namna mnavyofanya hasa kwe simu.
 
dendizzo

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
790
1,000
Naombeni mnisaidie jinsi mnavyofanya mfano mtu kapost thread yake halafu mtu anareply lakini maneno ya post ya kwanza yanajitokeza yakiwa na kwe kivuli chenye rangi.Kama bandugu tupeane maujuzi namna mnavyofanya hasa kwe simu.

Kama hivi au sio?? Hii inaitwa "qoute". Kama simu yako ni touch basi ukitaka ku- qoute post ya mtu una "tap" ile post zitakuja options kama like, quote and more. Wewe chagua kwenye quote then utaendelea kuandika reply yako mbele ya post iliokua quoted.
 
Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,890
2,000
Naombeni mnisaidie jinsi mnavyofanya mfano mtu kapost thread yake halafu mtu anareply lakini maneno ya post ya kwanza yanajitokeza yakiwa na kwe kivuli chenye rangi.Kama bandugu tupeane maujuzi namna mnavyofanya hasa kwe simu.

Reply ktk maelezo yake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom