Recent content by brave

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha bibi bomba kinadhalilisha bibi zetu

    Tatizo la hiki kipindi nafikiri management imekosea kuacha hiki kipindi cha bibi zetu kuendeshwa na kitukuu.unafikiri kuna maadili yatapatikana hapo?...unaacha bibi anasema ..hey! Hey! Whatssap ma nigga!???
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya kutafutia passport/ kwenda uhamiaji

    Mbona wewe unatetea sana hayo mavazi mafupi,na kwanini ujilinganishe na wazungu,wewe utamaduni wako ni upi!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa haki za binadamu (LHRC) Ponda siyo binadamu?!!?

    Samahani nimepitwa kidogo,naomba nijuzwe kauli aliyoitoa prof.Lipumba juu ya tukio la Ponda
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Inshaallah!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuhama nyumbani

    kinakukimbiza nn kwa wazazi wako au conjugal!
  6. B

    JamiiForums Tanzania huyu mchina anaomba uraia wa tanzania ZHU JIN FENG yuko hapa toka mwaka 2003

    Huyo atakuwa amekiuka sheria ya kwao inayowataka kuzaa watoto wawili tu,kwakuwa kwetu hatuna limit hata upige 20 ni wewe tu,ndiyo sababisha mchina kaipenda tz.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Idara ya uhamiaji, kitengo cha passport: Huu ni utaratibu wenu au mnatengeneza mazingira ya Rushwa?

    Rekebisha..Tanzania hatuna wizara ya uhamiaji bali ni ldara ndani ya wizara ya mambo ya ndani.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tukio la majambazi kupora fedha Ubungo Mataa

    ule utaratibu wa askari wenye silaha kuwepo kwenye makutano ya barabara za mataa uliishia wapi au ndo wanaondolewa baada ya ishu kupita ndo wanarudishwa?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Sec Waandamana

    wanafunzi wa kipaji maalum mzumbe wameandamana wakielekea kwa mkuu wa mkoa ili kumuelezea matatizo yao ambayo yamekuwa yakipuuzwa na uongozi wa shule na hivyo kupelekea kufungwa kwa muda barabara Morogoro lringa kabla ya kuzuiwa na askari.source redio one breaking news
  10. B

    JamiiForums Tanzania Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    Washenzi kabisa hao tena ikiwezekana piga risasi wote!haiwezekani wakatuletea machafuko ktk nchi yetu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Shujaa wa gesi aliyepigwa risasi-rip mr.karim

    bado kijana mdogo sana family na taifa lake lilikuwa bado inamtegemea.Vijana acheni kushabikia mambo amboyo baadae yanawaletea simanzi wazazi wenu...R.I.P
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi wana jf

    Wanajamii naomba mnipokee na kunikaribisha mdau mwenzenu!
Back
Top Bottom