Recent content by brandonlee

  1. brandonlee

    JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wengi wakifikisha miaka 60+ huanza kurudi kwenye kilimo?

    Kilimo kina risk kubwa, kwakua walisha enjoy maisha ujanani wanaona liwalo na liwe
  2. brandonlee

    JamiiForums Tanzania Tunawatumiaje wageni kama fursa kwenye biashara ya utalii!?

    tembelea hii website ya hii kampuni ya utalii inahusiana na masuala ya kusafirisha wageni https://shalevtoursandsafaris.com
  3. brandonlee

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Dodoma

    Sawa boss
  4. brandonlee

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Dodoma

    Kazi yoyote halali nafanya sio lazima iwe ya taaluma yangu, kwahiyo hatakama wewe una connection za saidia fundi niunganishie mkuu
  5. brandonlee

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Dodoma

    Wazo zuri mkuu
  6. brandonlee

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Dodoma

    Bachelor of Arts in Geography and Environmental Studies
  7. brandonlee

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Dodoma

    Habarini za asubuhi wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu ni degree, naombeni kazi yoyote halali nitaifanya kwa ufanisi mkubwa
  8. brandonlee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Ads zinanilia data

    Mimi mbona ipo
  9. brandonlee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Ads zinanilia data

    Nenda setting then nenda google then bonyeza ADS then nenda sehemu imeandikwa "Enable Debugging for ads" Kama ipo On weka OFF
  10. brandonlee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada Simu inajufuta kila kitu after every 2 hours

    [emoji23] Kuna watu wanateseka aisee
  11. brandonlee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa simu za Redmi /Xiomi

    Kwann
  12. brandonlee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa simu za Redmi /Xiomi

    Software mbovu za hizo simu
  13. brandonlee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Fact
Back
Top Bottom