reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,828
- 21,938
Ukifanya update itakuwaje boss?Mdanganyeni , afanye update atalia na kusaga meno , hapo ni kupiga factory data reset , ikishindikana tupa nunua mpya
Ukifanya update itakuwaje boss?Mdanganyeni , afanye update atalia na kusaga meno , hapo ni kupiga factory data reset , ikishindikana tupa nunua mpya
Ndio acha hapohapo.So niiache hapa kwenye hii version siyo [emoji116]View attachment 2620299
Nimetumia simu hizo najua nachoandika, software ya xiomi mbovu bora hata ya infinix haiko na matatizo kama hiyoHujui unachoandika
Kama hauna ushauri wowote wa kumsaidia bora uwe unakaa kimya. Wala sio dhambi
Hapana sio kweli nilikuwa natumia Infinix sasahivi ninatumia Redmi ya bei rahisi tu, aisee naona improvement kubwa sana, huwezi kunirudisha tena huko Infinix [emoji28][emoji28]Nimetumia simu hizo najua nachoandika, software ya xiomi mbovu bora hata ya infinix haiko na matatizo kama hiyo
Kama hajui kuhusu factory reset aseme tumwelekezeKwa ushauri huu kamaliza tatizo sasa shida inakuja anajua hayo mambo
Hizi agenda zako nimeshazichoka aisee [emoji28][emoji28]Nimetumia simu hizo najua nachoandika, software ya xiomi mbovu bora hata ya infinix haiko na matatizo kama hiyo
Kwahio kama software yake mbovu tusiseme?Hizi agenda zako nimeshazichoka aisee [emoji28][emoji28]
Sibishii mtu tena. Acha Xiaomi tutumie sisi tuliozielewa. We achana nazo maana zitakusumbua tu akili yako
Mbovu kwakoKwahio kama software yake mbovu tusiseme?
Na huyu alieleta uzi je?Mbovu kwako
Amelalamika kuwa simu yake inastack. Mbona watu kibao wamelalamika kuhusu Samsung Galaxy A13 kuwa slow? Kwani ina maana software ya One UI ni mbaya?Na huyu alieleta uzi je?
Nina mashaka na hii account yako mkuu [emoji1787][emoji1787]Software mbovu za hizo simu
Mwambie huyo[emoji28][emoji28]Factory reset najua mkuu[emoji3]
Nakazia..... design kali, kamera uspime na vioo poa ila software majangaSoftware mbovu za hizo simu
Kutetea kitu kibovu utatumia nguvu nyingi sana ila ukweli unaujua moyoniAmelalamika kuwa simu yake inastack. Mbona watu kibao wamelalamika kuhusu Samsung Galaxy A13 kuwa slow? Kwani ina maana software ya One UI ni mbaya?
Hujajibu swali mkuu, kuhusu case ya Samsung Galaxy A13Kutetea kitu kibovu utatumia nguvu nyingi sana ila ukweli unaujua moyoni
Endelea kucomment na kujijibu [emoji38][emoji38]Nakazia..... design kali, kamera uspime na vioo poa ila software majanga
Hiyo simu ilikuwa na processor duni ndo maana ikawa slow, siwezi sifia kitu kibovu hata niwe nimekitengeneza mwenyewe ntakubali mapungufuHujajibu swali mkuu, kuhusu case ya Samsung Galaxy A13
Mbona unakimbilia methali, nahau na vitendawili [emoji38][emoji38]