Msaada: Ads zinanilia data

relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
3,188
4,764
Wakuu kama kichwa habari kinavyojieleza.

Simu yangu kwasasa ni mwendo wa matangazo ya 1x bet, mara magame naamua kujipumzishia zangu fuvu niingie JF matangazo yanaibuka Data ya mawazo ni mwendo wa kuisha tu GB 1.4 siku moja tu imekata msaada tafadhari simu yangu ni Infinix hot 10i sikumbuki niligusa wapi chanzo cha hilo tatizo.
 
Nenda setting then nenda google then bonyeza ADS then nenda sehemu imeandikwa "Enable Debugging for ads" Kama ipo On weka OFF
Nashindwa kuiona debugging for ads
Screenshot_20231018-160036.jpg
Screenshot_20231018-160012.jpg
 
Wakuu kama kichwa habari kinavyojieleza.

Simu yangu kwasasa ni mwendo wa matangazo ya 1x bet, mara magame naamua kujipumzishia zangu fuvu niingie JF matangazo yanaibuka Data ya mawazo ni mwendo wa kuisha tu GB 1.4 siku moja tu imekata msaada tafadhari simu yangu ni Infinix hot 10i sikumbuki niligusa wapi chanzo cha hilo tatizo.
Releases Β· AdAway/AdAway weka hii.
 
Infinix na ads ni kama samaki na maji
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nenda setting then nenda google then bonyeza ADS then nenda sehemu imeandikwa "Enable Debugging for ads" Kama ipo On weka OFF
Screenshot_20231022_010611_Google Play services.jpg

Huyu anafanyaje maana kaishia hapa hiyo enable na disable hawajamuwekea
 
Back
Top Bottom