Sijasoma UDSM lakini bado naheshimu uwepo wake na elimu inayopatikana pale. Unayesema mitihani ni migumu bado sipati picha vizuri kama uko sawa kiakili, kwenye ugumu ndipo mafanikio yalipo. Onyesha kwamba unajua na unafanya unachokijua sio husomi, unapuyanga mjini unategemea anayekufundisha...
Uwe na amani kabisa kiongozi, zile ni zana chache sana na tena ni common kwa majeshi mengi.
Jeshi liko sawa na linajua nini linafanya wakati wa maonyesho, hata nchi nyingine wanafanya hivyo kwa wananchi wake katika maadhimisho mbalimbali.
Jeshi liko thabiti na ni mbinu tu ndiyo zinafanya nchi...
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na Amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.
Chorus:
Ibariki Afrika, Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
Chorus:
Ibariki...
Kwa ufafanuzi ulioutoa inaonyesha kabisa watanzania tuna safari ndefu kufika nchi ya ahadi, asilimia kubwa ya watanzania hatuyaangalii haya yanayoendelea kisiasa kwa jicho la tatu bali tunayaangalia kishabiki, hii itaendelea kututafuna kizazi hata kizazi kwa sababu hatujasimama kutaka kujua nini...
nimesoma uzi huu nikapata hisia kali. Nimefiwa na wazazi wangu wote wawili this year (2012) kwa wakati mmoja na siku moja ni kitu kigumu kidogo kueleza but atleast mtanielewa, and nilikua wa kwanza kwenda kutambua miili kama ni yao kweli. It pains a lot aisee but through GOD the Almight Father...
wewe ndio mwenye matatizo, sio mkeo wala mama yako! Umeshindwa kusimama kama baba na mwenye nyumba katika familia yako! Kazi unakimbia matatizo kwa ulabu!
dah! Nikwambie kitu bro! Huyo mkeo ni wa maana sana! Familia yako kwanza mengne yanafuata! Kwa upeo mdogo wa kufikiria mama yako ni mshari sana! Angalia bomu unalotengeneza litakulipukia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.