She wants to Abort..!!!?

Kayoka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
2,239
1,884
Msaada ndugu zanguni niko cross road mwenzenu.

Tumedumu na mpenzi wangu kwa takribani miezi 9, tukaaminiana, tukapendana na kufanya kila kitu pamoja. August 25 akaniambia anajisikia kuumwa sana tumbo na uchovu mwili mzma. Nikamshauri twende hosptl kupima malaria, pregnancy,etc.

Majibu yakaja kwamba ana mimba ya mwezi m1, kwa kweli kila mmoja wetu akatabasamu hasa mie ukizingatia ni uthibitisho wa ulijari wangu na kumhaidi kwamba ndiye mke wangu wa maisha. Cha kushangaza sana jana kaniambia kwamba anajiandaa kuitoa hiyo mimba coz hakuwa tayari kubeba mimba kwa sasa kwani malengo yake bado hayajatimia, kaenda kwa daktari kamwambia aende jumatano wakafanye hiyo kitu.

Nimejaribu kumshauri asiitoe mimba yangu, hajui mungu kampangia nini juu ya uzazi wake hataki, kasimamia msimamo wake wa kuitoa.

Swali langu kwenu, Je nitaweza kupata msaada wa kisheria kama atatoa mimba hii bila ridhaa yangu?

Ushauri wenu pia.
 
Je sheria ya Tanzania inasemaje endapo mke ama mpenzi wako atautoa ujauzito bila ridhaa yako?
Nini kifanyike ili kunusuru jambo kama hili?
 
Huyo ni muuaji tu.

Wakati mnamegana kavu kavu alikuwa hajui kinachoweza kutokea?

Alikuwa hajui kama hayuko tayari kubeba mimba kwa vile malengo yake bado hayajatimia?

Ni mjinga kiasi gani kutokujua athari za kumegana bila kinga?

Mijanamke mingine haifai kabisa kuwa hai.

Hivi mama'ake angemuua yeye ingali mimba yake iko changa angekuwa hai leo hii kufurahia kudinywa dinywa?

Pambaaaf kabisa huyo mwanamke.
 
Hakuna sheria itakayokulinda ndugu yangu. Umejipatia kimeo. Ungemueleza tu msimamo wako, na ningekuwa mie ndo weye ningeachana nae officially ili hata akifa huko kwenye process ya kutoa mimba na mie niende msibani kama mtu baki.

Kuna wanawake wanapata mimba za nje ya ndoa na wanazitoa bila waume zao kujua. Nahisi ndo type hizi. Ukiendelea hapo ujipange kabisa huko baadae.
 
Hana uhakika km utamuoa na anahc utamkimbia baada ya kuzaa coz wanaume nyie hamtabiriki!
 
Kwa miaka hii hawa Dada zetu Kama Ana kupanda kweli kwa dhati, akipata Mimba yako hawezi kuitoa, huyo ajajicommit kuishi na Wewe! Pole, Ndo ukweli huo.

Msaada ndugu zanguni niko cross road mwenzenu.
Tumedumu na mpenzi wangu kwa takribani miezi 9, tukaaminiana, tukapendana na kufanya kila kitu pamoja.
August 25 akaniambia anajisikia kuumwa sana tumbo na uchovu mwili mzma.
Nikamshauri twende hosptl kupima malaria, pregnancy,etc.
Majibu yakaja kwamba ana mimba ya mwezi m1, kwa kweli kila mmoja wetu akatabasamu hasa mie ukizingatia ni uthibitisho wa ulijari wangu na kumhaidi kwamba ndiye mke wangu wa maisha.
Cha kushangaza sana jana kaniambia kwamba anajiandaa kuitoa hiyo mimba coz hakuwa tayari kubeba mimba kwa sasa kwani malengo yake bado hayajatimia, kaenda kwa daktari kamwambia aende jumatano wakafanye hiyo kitu.
Nimejaribu kumshauri asiitoe mimba yangu, hajui mungu kampangia nini juu ya uzazi wake hataki, kasimamia msimamo wake wa kuitoa.
Swali langu kwenu, Je nitaweza kupata msaada wa kisheria kama atatoa mimba hii bila ridhaa yangu?
Ushauri wenu pia.
 
me nina mawazo tofauti kidogo! Inawezekana hyo mimba sio yako so anataka kupoteza ushahidi, watch out! Bt truly sijafurahishwa na utoaji wake wa mimba
 
Ahasante kwa ushauri ndugu zangu. Ninachokiona mimi mwenyewd ni kwamba nahc kama anataka kuniaacha kwa mbinu hiyo, huenda kuna mwanaume mwenye mali, magari, etc kamdanganya anataka kumuoa solution kaona ni kuitoa mimba yangu ili awe huru na mambo yao.
Mimi msimamo wangu nimemwambia kama atafanya hivyo nampeleka mahakamani tukakutane huko. Na nitahakikisha yeye, wazazi wake, huyo daktari na yeyote atakayehusika na kitendo hicho ataonja mkono wa sheria.
Kwa kweli nampenda sana na hiyo ni mimba yangu ya kwanza kumpa mwanamke tangu nije hapa duniani halafu yeye anataka kuniulia mwanangu bila sababu.
 
Hana uhakika km utamuoa na anahc utamkimbia baada ya kuzaa coz wanaume nyie hamtabiriki!

Hapana dada Anita.
Nampenda ila sijui yeye kama ana upendo wa dhati kwangu, tumekuwa kwa mahusiano kwa miezi tisa, hata wazazi wetu wanajua hilo na tukapanga kwamba nikimaliza masomo yangu tufunge ndoa.
 
Huyo ni muuaji tu.

Wakati mnamegana kavu kavu alikuwa hajui kinachoweza kutokea?

Alikuwa hajui kama hayuko tayari kubeba mimba kwa vile malengo yake bado hayajatimia?

Ni mjinga kiasi gani kutokujua athari za kumegana bila kinga?

Mijanamke mingine haifai kabisa kuwa hai.

Hivi mama'ake angemuua yeye ingali mimba yake iko changa angekuwa hai leo hii kufurahia kudinywa dinywa?

Pambaaaf kabisa huyo mwanamke.

hata me namshangaa sana, kwa muda wote nipo nae tumetumia condom mara 2 tu, after that tukawa tunakulana bila sox na hiyo ni kutokana na yeye mwenyewe kudai kwamba eti condom zinamuumiza na kwa nini tutumia kama yeye ni mke wangu.
 
Naomba tena kuuliza ndugu zangu:
Kwa hapo eti nani mwenye hiyo mimba YEYE au MIMI??
Nani mwenye maamuzi na hiyo mimba yeye au mimi?
 
anataka kutimiza malengo yake kwanza, je amekuambia ni yapi hayo? tutonye nipate pa kuanzia
 
Wataalam wa sheria watakupa jibu sahihi, jambo hilo ni common sana kwa akina dada wa sasa.
 
Hapana dada Anita.
Nampenda ila sijui yeye kama ana upendo wa dhati kwangu, tumekuwa kwa mahusiano kwa miezi tisa, hata wazazi wetu wanajua hilo na tukapanga kwamba nikimaliza masomo yangu tufunge ndoa.
Sasa wewe kumbe mwanafunzi, kwa nini unafanya mambo ya wakubwa!
 
Msaada ndugu zanguni niko cross road mwenzenu.
Tumedumu na mpenzi wangu kwa takribani miezi 9, tukaaminiana, tukapendana na kufanya kila kitu pamoja.
August 25 akaniambia anajisikia kuumwa sana tumbo na uchovu mwili mzma.
Nikamshauri twende hosptl kupima malaria, pregnancy,etc.
Majibu yakaja kwamba ana mimba ya mwezi m1, kwa kweli kila mmoja wetu akatabasamu hasa mie ukizingatia ni uthibitisho wa ulijari wangu na kumhaidi kwamba ndiye mke wangu wa maisha.
Cha kushangaza sana jana kaniambia kwamba anajiandaa kuitoa hiyo mimba coz hakuwa tayari kubeba mimba kwa sasa kwani malengo yake bado hayajatimia, kaenda kwa daktari kamwambia aende jumatano wakafanye hiyo kitu.
Nimejaribu kumshauri asiitoe mimba yangu, hajui mungu kampangia nini juu ya uzazi wake hataki, kasimamia msimamo wake wa kuitoa.
Swali langu kwenu, Je nitaweza kupata msaada wa kisheria kama atatoa mimba hii bila ridhaa yangu?
Ushauri wenu pia.

Unakubalianaje na yeye atake kuimwaga damu ya mwanao asiye na hatia kirahisi hivyo? Mpe msimamo wako kuwa akiitoa unampeleka mahakamani na kisha umuonye na huyo daktari wake aachane na tabia za kukumbatia matukio kama haya, na badala yake ajikite zaidi kwenye kuwatibu watu na kuokoa maisha yao badala ya kuviua viumbe visivyo na hatia. Hiyo siyo kazi yake ya msingi.
Kuwa na msimamo bwana.
 
Naomba tena kuuliza ndugu zangu:
Kwa hapo eti nani mwenye hiyo mimba YEYE au MIMI??
Nani mwenye maamuzi na hiyo mimba yeye au mimi?

Mkuu mbona hapa hamna tatizo kihivo??kwanza kama wazaz wanajua kuhusu uhusiano wenu plz anza kushitaki kwao.ongea na baba wa binti umueleze nini bint yao anataka kufanya,kisha kama utaona umuhimu mwambie na mama yake!second option zungumza na polisi unayemjua,ukimwambia wamtie jamba jamba!then wale polisi wamkamate wamwambie anachotaka kufanya na waende naye hospital kupima mimba!kisha aambiwe asain somewhere kuthibitisha ni mjamzito na akitoa then anawekwa ndan kwan amefanya uuaji!hii ni katika kumtisha tu ili asitoe maana sijui sheria kama ina lolote la kusema kwa hilo.
Iwapo ataibeba hiyo mimba na kujifungua shukuru mungu tunza mtoto wako bt huyo sio mke wa kuoa kaka!
 
hapo kwenye red ndo sababu inayomfanya huyo binti atake kutoa mimba?
unasema wewe ni mwanafunzi je mwanafunzi wa wapi? chuo au?
najaribu kuingia kwenye mawazo ya huyo mwanamke...............

  • je ni mwanafunzi?
  • anasoma chuo au wapi?
  • una kazi/kipato?
  • mwanamke ana kazi /kipato?
  • mtamleaje mtoto? nguo malazi nk, au ndo mtategemea wazazi wenu?
  • je mwanamke anakuchukulia wewe kama mume au alikua anaegesha tu?
  • mwanamke anategemea nani? wazazi? labda kawaza ndo anawaletea mzigo wazazi wake ? je hali yao ya kiuchumi ikoje?
  • tabia zako zikoje? je ni husband material au la?
  • hayo malengo ni yapi?
  • je malengo yake yamekuinclude wewe?

jikague mwenyewe, mkague mwenzio mpange mkakati kuanzia hapo, kutumia ubabe hakutakusaidia...kama mwanamke kaona hakuna future kwako.....kama kaona huna uwezo wa kumtunza yeye na mtoto, kama kaona una udhaifu fulani ambao haaki kudeal nao maisha yake yote mkiwa ndoani....

mfanye aamini u baba bora...
rekebisha ambapo si sawa, uokoe huyo kiumbe
akigoma then zungumza na wazazi wake au hao polisi

mwisho kabisa mlivyoamua kwenda kavu mlipima kujua afya zenu? au mlidanganyana tu kuwa mtaoana?
na manajijua ni wanafunzi kwa nini kurukia mapenzi?
na manaporukua mapenzi kwa nini hamtumii uzazi wa mpango? matokeo yake mnaleta mauaji ya bure?

Hapana dada Anita.
Nampenda ila sijui yeye kama ana upendo wa dhati kwangu, tumekuwa kwa mahusiano kwa miezi tisa, hata wazazi wetu wanajua hilo na tukapanga kwamba nikimaliza masomo yangu tufunge ndoa.
 
Mi sijajua unataka tukushauri nini,ameshaamua tayari,hivi unadhani ushauri wa JF unaweza kubadili mawazo yake?For what reason exactly?Kama hajakusikia wewe ni kupoteza muda hapa na bado wewe huyo huyo aliekukataa kukusikia at the first place ndo tunakushauri,kwaajili ya nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom