Recent content by Boykweli

  1. B

    JamiiForums Tanzania Aina mpya ya utawala unaozaliwa na vyama vya siasa vya upinzani ni tisho kwa mustakabali wa Tanzania. Watanzania tuvikatae

    Ungejua hao chipukizi unaowazungumzia walivyo na hasira na hii CCM hata usingethubutu kuwataja. Watu hawako tayari kuangalia Sera wala itikadi ya chama wanachohitaji CCM ikae pembeni kwanza mengine yatafuata. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi! Elimu yangu kidato cha 4 pia najua lugha 3

    Karibu Kiwandani kwetu wanahitaji wakalimani wa kichina Ila ukijue vizur sio cha kuungaunga tu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Polisi yavamia Mkutano wa ndani wa ACT-Wazalendo! Wazuia Mkutano uliokuwa ukiendelea katika Ofisi za Makao makuu ya chama hicho

    Tukatae tukubali haya mambo yapo tena kwa wanasiasa ndo usiseme Hii ni tamaduni za mwafrika Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    JamiiForums Tanzania Polisi yavamia Mkutano wa ndani wa ACT-Wazalendo! Wazuia Mkutano uliokuwa ukiendelea katika Ofisi za Makao makuu ya chama hicho

    Jaman msipende kufananisha kila linalomkuta fulani na fulani nae limkute au liwe zaidi yake, Mapito ya wanasiasa ni tofauti wengine wana miungu yao wametambikwa vzuri, wamegangwa vzuri, wameaga vzuri, wamebarikiwa vzuri. Kuna wengine wakipulizwa tu wanaanguka, wengine wanayumba tu kidogo na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo: Tishio la kufutwa, hatutarudi nyuma

    Songa mbele Zitto, umebeba matarajio ya wengi sana kamwe usiwaangushe Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali inawakomoa watumishi kwa hasira?

    Bila shaka may mosi ya mwaka huu wafanyakazi watafurahi sana na wataandamana kupongeza maana kile kilichotakiwa kupandishwa kwa miaka yote hiyo kitapandishwa may mosi hii kwa mkupuo na watashangalia wakisema haijawahi kutokea. Hapa nadhan akumbukwe tu Bwege mbunge wa Kilwa Kusini Sent using...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa mjiheshimu sana

    Kwani nchi yetu inayosheria inayoruhusu Upinzani kuunda chama kimoja na kikasajiriwa kama ilivyo Kenya??????? Nazani wanaotunga sheria wangeanzia hapa kwanza! Muungano wowote utakaofanywa na upinzani kwa sasa hautakuwa wa kisheria na hivyo hautakuwa imara kabsa kama ilivyokuwa kwa UKAWA...
  8. B

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    Mi nashawishika na lile la kwanza ambalo linadirect wa shahada waombe primary, Maana kuna cku naibu waziri Tamisemi mh Waitara akiwa Kondoa alisema kuna walimu wa arts elfu 11 wa ziada huko secondary so watawashusha waje primary So inakuaje leo tena waajiri wa walimu arts secondary wakat kuna...
  9. B

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    Samahani wanajukwaa naomba kufafanuliwa kidogo, Nikiingia Tamisemi tangazo lao la ajira ya walimu linaonyesha wenye shahada wanatakiwa kuomba sekondari na linaonyesha limeandikwa na wziri tamusemi na sahini yake. Lakini tangazo la kwanza nilioliona linawataka wenye shahada waombe shule za...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna anguko kubwa la CHADEMA?

    Nijuavyo Mimi Watanzania wengi hasa wa hali ya chini hawana utamaduni wa kusoma vitabu, Ilani wala kuzijadili Sera za chama chochote kile hawana muda huo kabisa!. Kwa sasa wamekata tamaa na wanachotamani ni kuiondoa CCM madarakani tu walau waangalie chama kingine mbadala kitafanya nini...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Bunge lajivua Nguo mbele ya wananchi

    Duh! Yaani ukiona visenti wanavyolipwa WATANZANIA wa VIWANDANI ambao wanalipwa kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na hawa jamaa wa Mjengoni na hata kuifanyia marekebisho hawataki !!! Hakika Tz tuna safari ndefu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania Muda wa Urais ni Miaka kumi, ikitokea akazidisha mtafanyaje wananchi

    Kwa kuwa jeshi linakula na kusaza pia polisi wanakula na kushiba na wanaruhusiwa kuua mtu yeyote ila tu wampe jina la jambazi, basi hili linawezekana sana kutokea na wananchi tukaufyata tu. Mungu atuepeshe sana!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom