Wanasiasa mjiheshimu sana

Wanasiasa mjiheshimu sana

Ulikua upo mawazoni mwangu! hii thread i a ujumbe mzito sana..jana saa 2 TBC news zaidi ya dk 20 ilikua ni hbari za ccm..full kampeni...!niliumia kbs rohoni nilipomuona EL anaongea kwao Arusha huyu mzee huenda ana mental pbm..hv anajua watu walovyojitoa kuhusu yy?watu walikua hawalali wengine walinusurika kuvunja ndoa kisa Lowasa leo anakuja kutugeuka kishenzi shenzi tu ..nataman kupotea nchi hii mm..watu tuliweka rehani vibarua vyrtu na ndoa zetu kwaajili ya msenge huyu leo anaondoka km kitu cha kawaida!
Naamini machungu na machozi yetu Mungu atatulipia hapa hapa !huyu hachukui 3yrs Israel atamwita!shenzy
Ameen, nimeufurahia mstari wa mwisho zaidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani nchi yetu inayosheria inayoruhusu Upinzani kuunda chama kimoja na kikasajiriwa kama ilivyo Kenya???????

Nazani wanaotunga sheria wangeanzia hapa kwanza!

Muungano wowote utakaofanywa na upinzani kwa sasa hautakuwa wa kisheria na hivyo hautakuwa imara kabsa kama ilivyokuwa kwa UKAWA

Hakika tuna safari nzito sana kuikomboa Tz!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuunda chama kimoja ni issue ya utashi tu basi, kwani wakiamua kuunda chama ata kwa kuahamia chama kimoja, wakisha fika wabadili katiba kuwa katiba ambayo italeta msawazo shida hawana UTASHI na DHAMIRA, binafsi naona bado shida iko kwetu pia kushindwa kuwaadabisha kwa kuwapuuza ili wajifunze.

Naona tukiwambia tunataka mabadiriko huwa hawatuelewi wanadhani mageuzi tunayo yahitaji hatuyajui.
Kwani nchi yetu inayosheria inayoruhusu Upinzani kuunda chama kimoja na kikasajiriwa kama ilivyo Kenya???????

Nazani wanaotunga sheria wangeanzia hapa kwanza!

Muungano wowote utakaofanywa na upinzani kwa sasa hautakuwa wa kisheria na hivyo hautakuwa imara kabsa kama ilivyokuwa kwa UKAWA

Hakika tuna safari nzito sana kuikomboa Tz!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado najiuliza wananchi ni wapole au waduwanzi..viongozi wanataka kuleta maendeleo au kuchafua heshima ya uzao wao!
 
Umeongea ukweli nami hua sipendi ujinga ujinga, mimi na wewe na wengine wachache wenye uelewa tunaweza tukachukua maamuzi mojawapo kama hilo la kuto kupiga kura kutokana na ushenzi wanaotufanyia, lakini kumbuka watanzania wengi ni wajinga na wengine ni wapumbavu wakipewa Pombe tena iliyochacha wiki nzima wanasahau shida zote kesho anaenda kumpigia kura.

Shida kubwa kwa watanzania ni kukosa elimu bora na hawa wachache waliokapata hako kaelimu na wakapata na kanafasi kakufika pale juu wanafanya figisu ili tusielimike na tuliobahatika kuelimika Wana tu silence kwa nguvu zote.

Marekani ijapo hawajakamilika mia mia lakini nawasifu kwa jambo hili :- kuwachagua watu wachache elites, hawa falsafa yao ni taifa KWANZA vyama huko na ndio wanaoamua rais awe nani, wananchi mnaenda kupiga kura ushahidi tu waliona mbali kuwa Kuna wananchi hawana uelewa.

Sasa matatizo ya kuto kuelimika mojawapo niliyokutana nayo siku ya kupiga kura mtu anasema napigia chama cha Nyerere, yaani unabaki umehamaki huamini, halafu propaganda zingine za hovyo walizonazo hao watu kusema upinzani utaleta vita, mara ooh hao wapinzani wanataka kuruhusu ushoga, sasa kwa hawa wajinga na wapumbafu wanaamini na hawampi kura mtu ambaye ni sahihi.

Mambo ni mengi ila mda ni mchache tuna safari ndefu sana.
 
Ulikua upo mawazoni mwangu! hii thread i a ujumbe mzito sana..jana saa 2 TBC news zaidi ya dk 20 ilikua ni hbari za ccm..full kampeni...!niliumia kbs rohoni nilipomuona EL anaongea kwao Arusha huyu mzee huenda ana mental pbm..hv anajua watu walovyojitoa kuhusu yy?watu walikua hawalali wengine walinusurika kuvunja ndoa kisa Lowasa leo anakuja kutugeuka kishenzi shenzi tu ..nataman kupotea nchi hii mm..watu tuliweka rehani vibarua vyrtu na ndoa zetu kwaajili ya msenge huyu leo anaondoka km kitu cha kawaida!
Naamini machungu na machozi yetu Mungu atatulipia hapa hapa !huyu hachukui 3yrs Israel atamwita!shenzy
Umeongea kwa Hisia sana...Nataka ujiulize je unahisi Lowasa aliondoka Ccm kwa kupenda???au aliondoka Ccm kwa kuwa aliichoka! !!

Akili yangu ndogo ina amini kuwa Lowasa aliondoka either kwa mambo mawili..1.Kwa mkakati maalum 2:Alikimbia Mfumo usiokuwa na tija Kwake. ...Kwa hizi sababu ndogo na nyepesi pia ilinifanya niamini ipo siku isiyokuwa na jina atarudi nyumbani..CCM na Lowasa hawajawahi kuwa maadui...
Chadema watazidi kuilaani na kuihukumu siku waliyoruhusu Lowasa awe miongoni mwao.

Karudi kule alikonyweshwa sumu. Anahitaji kutapishwa au kuwafia wale waliomnywesha.

Ila umesema kweli. Nakumbuka 2015 kulikuwa na Wazee wenye umri mkubwa kuliko yeye lkn waliamka alfajiri kwenda kumchagua yeye. Kulikuwa pia na makundi ya vijana hawakulala kabisa usiku wakuamkia uchaguzi. Lakini ndiyo hivyo tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
raisi wako ameshaachana na mambo ya viwanda mambo ya maendeleo.saivi yuko bize na kutisha na kusajili wanachama.

Tanzania tunahitaji polee kupoteza miaka atakayo kuwa madarakani.
Mkuu sio kama anapenda kufanya hivyo hapana. Kachanganyikiwa kwani haamini muda umeyoyoma na hakuna la maana zaidi ya chuki na umasikini kwa wapiga kura. Muda wake mwingi toka aingie madarakani ni kupambana na Wapinzani tu. Matokeo yake Wapinzani bado wapo na muda umebaki kichele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karudi kule alikonyweshwa sumu. Anahitaji kutapishwa au kuwafia wale waliomnywesha.

Ila umesema kweli. Nakumbuka 2015 kulikuwa na Wazee wenye umri mkubwa kuliko yeye lkn waliamka alfajiri kwenda kumchagua yeye. Kulikuwa pia na makundi ya vijana hawakulala kabisa usiku wakuamkia uchaguzi. Lakini ndiyo hivyo tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaudhi na kuuma sana, kuishi na kiumbe mnafiki kama wanasiasa watanzania, Africa hatuendelei kwa kukosa falsafa hutujui nini tunaamini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kwa Hisia sana...Nataka ujiulize je unahisi Lowasa aliondoka Ccm kwa kupenda???au aliondoka Ccm kwa kuwa aliichoka! !!

Akili yangu ndogo ina amini kuwa Lowasa aliondoka either kwa mambo mawili..1.Kwa mkakati maalum 2:Alikimbia Mfumo usiokuwa na tija Kwake. ...Kwa hizi sababu ndogo na nyepesi pia ilinifanya niamini ipo siku isiyokuwa na jina atarudi nyumbani..CCM na Lowasa hawajawahi kuwa maadui...
Chadema watazidi kuilaani na kuihukumu siku waliyoruhusu Lowasa awe miongoni mwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi maskitiko yangu si Lowassa kurudi CCM maana binafsi ni CCM ingawa ccm mfuu, huyu mzee hana impacts kwa kizazi hiki hasa vijana, shida na kinacholeta hasira ni jinsi wanasiasa upinzani/ccm wanavyotuchukulia..??

Dharau za namna hizi zinatakiwa na mwisho, ebu tuwapuuzeni si CCM si UPINZANI tuanze na kugomea kupiga kura uchaguzi serikali za mtaa 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapokesea ni kuamini wanasiasa wanaweza kutetea na kulinda haki zetu..!

Ninavyojua umma tuna nguvu zaidi ya wanasiasa, ebu tujenge wanasiasa wenye mwelekeo kwanza tuwapuuze na kuwanyima ushirikiano kuanzia WAPINZANI, CCM na serikali yao inatokana nao.

Nia aibu kuendeshwa na watu wachache wasio na akili pia..!

POLITICIANS STOP FOOLING US.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wagawanye uwatawale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kwa Hisia sana...Nataka ujiulize je unahisi Lowasa aliondoka Ccm kwa kupenda???au aliondoka Ccm kwa kuwa aliichoka! !!

Akili yangu ndogo ina amini kuwa Lowasa aliondoka either kwa mambo mawili..1.Kwa mkakati maalum 2:Alikimbia Mfumo usiokuwa na tija Kwake. ...Kwa hizi sababu ndogo na nyepesi pia ilinifanya niamini ipo siku isiyokuwa na jina atarudi nyumbani..CCM na Lowasa hawajawahi kuwa maadui...
Chadema watazidi kuilaani na kuihukumu siku waliyoruhusu Lowasa awe miongoni mwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lowasa alindoka ccm kwa sababu alikatwa jina na kuzima ndoto zake za urais ambazo alijiandaa kwa miaka 20

Lowasa Chadema alitafuta tu jukwaa la kutimiza ndoto zake, alipoukosa urais shughuri ya Lowasa iliishia pale .

Sasa kama summary ndogo kama hii unashindwa kuijuwa huoni kama vichwa vya Watanzania wengi uelewa ni mdogo sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom