Je, Serikali inawakomoa watumishi kwa hasira?

Rais hana huruma na wafanya kazi tumekaa muda mrefu bila kupewa chochote kwa miaka yote hii,
dhuluma hii Mungu anaiona eti!
 
MOD usiufute huu uzi,wafanyakaz weng huwa hawapend kusoma soma,waache wasome kidog kidogo il dawa iwaingie! Uzur wa JIWE anajua kulipa vsas hvyo wacha watumish wauote moto wa jiwe ili 2020 2one kama akil imewarud au la,make wao n vibur wa kujitambua.
 
Nianze kwa kukupongeza Mh.Rais,kwa majukumu mengi uliyonayo ya kulijenga taifa hili masikini, si kazi ndogo!

Mh.Rais,natambua fika kwamba andiko langu hili laweza kujadiliwa kwa namna tofauti na watu tofauti tofauti,(ubinadamu asilia). Wafanyakazi walio wengi hawaelewi na hata sisi wengine hatuelewi sintofahamu hii katika utumishi wa umma,unasababishwa na nini haswa?Ni mwaka wa NNE sasa watumishi stahiki zao za kisheria hazitekelezwi,(hakuna ongezeko la mishahara,wala kupandishwa vyeo,au madaraja kama ilivyozoeleka kuitwa), hivi tatizo ni kwamba hatuna fedha?au umeamua kukomoa watumishi wa umma kwa makusudi?

Kuna wakati ziliwahi kusikika tetesi kwamba,"watumishi wa umma walio wengi,walimuunga mkono mshindani wako mkubwa katika uchaguzi wa 2015" na hivyo ulikuwa hasira nao kweli kweli kwa kuwa hawakuonyesha ushirikiano (sina hakika kama kauli hii ilikuwa na ukweli au lah!), lakini yote kwa yote, ni kwamba watumishi wa umma wanakiona cha mtema kuni!

Kama hisia za kuunga mkono Lowassa ndo chanzo kikuu cha kuwakausha juani watumishi wa umma,ni matumaini ya watumishi walio wengi sasa kwamba wataanza kuneemeka angalau kwa kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja yao,ili kukabiliana na mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya shilingi, kwa sababu waliyemuunga mkono sasa amerejea na kukuunga mkono,kwa maana nyingine watumishi sasa watakuwa waungaji mkono wazuri wa juhudi zako!

Kibaya zaidi ni kwamba hata sheria za utumishi wa umma sasa zinang'ata upande mmoja tu,(wa mtumishi),akienda kinyume na sheria na au kanuni za utumishi wa umma,kama zilivyorekebishwa mwaka 2002,anakiona cha mtema kuni,lakini sheria hiyo hiyo iliyompa wajibu mwajiri imepuuzwa na hakuna tatizo kabisa!(sheria imebaki na jicho moja pekee).

Mh.Rais,kwa heshima kubwa kabisa,tunaomba utazame kundi la watumishi wa umma,hao ndiyo wanawezesha maisha ya wengine kwenda sawa sawa!(angalau kwa kutupatia visenti kupitia biashara zetu ndogo ndogo na shughuli za ujenzi).

Watumishi wamejaa vinyongo ambavyo nadhani,2020 vinaweza kuleta changamoto sana kwenye kujinadi mbele yao!!!
Kila upande unalia kivyake maana yake ni kuwa hii nchi wananchi wengi wapo kwenye kilio na sintofahamu sasa sijui wanaongoza watu gani

In God we trust
 
Wacha wasomeshwe namba ndiyo watakoma kujipendekeza
Mchango wa watumishi wa umma hasa wa halmashauri kwenye ushindi wa Magufuli ni mkubwa mno. Pengine haelezwi uhalisia wa kilichotokea kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. Hakika anapaswa awaheshimu kuliko kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Bila shaka may mosi ya mwaka huu wafanyakazi watafurahi sana na wataandamana kupongeza maana kile kilichotakiwa kupandishwa kwa miaka yote hiyo kitapandishwa may mosi hii kwa mkupuo na watashangalia wakisema haijawahi kutokea.

Hapa nadhan akumbukwe tu Bwege mbunge wa Kilwa Kusini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nianze kwa kukupongeza Mh.Rais,kwa majukumu mengi uliyonayo ya kulijenga taifa hili masikini, si kazi ndogo!

Mh.Rais,natambua fika kwamba andiko langu hili laweza kujadiliwa kwa namna tofauti na watu tofauti tofauti,(ubinadamu asilia). Wafanyakazi walio wengi hawaelewi na hata sisi wengine hatuelewi sintofahamu hii katika utumishi wa umma,unasababishwa na nini haswa?Ni mwaka wa NNE sasa watumishi stahiki zao za kisheria hazitekelezwi,(hakuna ongezeko la mishahara,wala kupandishwa vyeo,au madaraja kama ilivyozoeleka kuitwa), hivi tatizo ni kwamba hatuna fedha?au umeamua kukomoa watumishi wa umma kwa makusudi?

Kuna wakati ziliwahi kusikika tetesi kwamba,"watumishi wa umma walio wengi,walimuunga mkono mshindani wako mkubwa katika uchaguzi wa 2015" na hivyo ulikuwa hasira nao kweli kweli kwa kuwa hawakuonyesha ushirikiano (sina hakika kama kauli hii ilikuwa na ukweli au lah!), lakini yote kwa yote, ni kwamba watumishi wa umma wanakiona cha mtema kuni!

Kama hisia za kuunga mkono Lowassa ndo chanzo kikuu cha kuwakausha juani watumishi wa umma,ni matumaini ya watumishi walio wengi sasa kwamba wataanza kuneemeka angalau kwa kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja yao,ili kukabiliana na mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya shilingi, kwa sababu waliyemuunga mkono sasa amerejea na kukuunga mkono,kwa maana nyingine watumishi sasa watakuwa waungaji mkono wazuri wa juhudi zako!

Kibaya zaidi ni kwamba hata sheria za utumishi wa umma sasa zinang'ata upande mmoja tu,(wa mtumishi),akienda kinyume na sheria na au kanuni za utumishi wa umma,kama zilivyorekebishwa mwaka 2002,anakiona cha mtema kuni,lakini sheria hiyo hiyo iliyompa wajibu mwajiri imepuuzwa na hakuna tatizo kabisa!(sheria imebaki na jicho moja pekee).

Mh.Rais,kwa heshima kubwa kabisa,tunaomba utazame kundi la watumishi wa umma,hao ndiyo wanawezesha maisha ya wengine kwenda sawa sawa!(angalau kwa kutupatia visenti kupitia biashara zetu ndogo ndogo na shughuli za ujenzi).

Watumishi wamejaa vinyongo ambavyo nadhani,2020 vinaweza kuleta changamoto sana kwenye kujinadi mbele yao!!!
Tank you, ni hakika magufuli anavuja sheria pale anaposema hakuna nyongeza ya mishara, hakuna kupadiswa vyeo na mengine, hii ndio shinda ya kuongozwa na mtu asiyejua umuhimu wa kusemu katiba, jiwe ni bure kabisa
 
Nianze kwa kukupongeza Mh.Rais,kwa majukumu mengi uliyonayo ya kulijenga taifa hili masikini, si kazi ndogo!

Mh.Rais,natambua fika kwamba andiko langu hili laweza kujadiliwa kwa namna tofauti na watu tofauti tofauti,(ubinadamu asilia). Wafanyakazi walio wengi hawaelewi na hata sisi wengine hatuelewi sintofahamu hii katika utumishi wa umma,unasababishwa na nini haswa?Ni mwaka wa NNE sasa watumishi stahiki zao za kisheria hazitekelezwi,(hakuna ongezeko la mishahara,wala kupandishwa vyeo,au madaraja kama ilivyozoeleka kuitwa), hivi tatizo ni kwamba hatuna fedha?au umeamua kukomoa watumishi wa umma kwa makusudi?

Kuna wakati ziliwahi kusikika tetesi kwamba,"watumishi wa umma walio wengi,walimuunga mkono mshindani wako mkubwa katika uchaguzi wa 2015" na hivyo ulikuwa hasira nao kweli kweli kwa kuwa hawakuonyesha ushirikiano (sina hakika kama kauli hii ilikuwa na ukweli au lah!), lakini yote kwa yote, ni kwamba watumishi wa umma wanakiona cha mtema kuni!

Kama hisia za kuunga mkono Lowassa ndo chanzo kikuu cha kuwakausha juani watumishi wa umma,ni matumaini ya watumishi walio wengi sasa kwamba wataanza kuneemeka angalau kwa kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja yao,ili kukabiliana na mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya shilingi, kwa sababu waliyemuunga mkono sasa amerejea na kukuunga mkono,kwa maana nyingine watumishi sasa watakuwa waungaji mkono wazuri wa juhudi zako!

Kibaya zaidi ni kwamba hata sheria za utumishi wa umma sasa zinang'ata upande mmoja tu,(wa mtumishi),akienda kinyume na sheria na au kanuni za utumishi wa umma,kama zilivyorekebishwa mwaka 2002,anakiona cha mtema kuni,lakini sheria hiyo hiyo iliyompa wajibu mwajiri imepuuzwa na hakuna tatizo kabisa!(sheria imebaki na jicho moja pekee).

Mh.Rais,kwa heshima kubwa kabisa,tunaomba utazame kundi la watumishi wa umma,hao ndiyo wanawezesha maisha ya wengine kwenda sawa sawa!(angalau kwa kutupatia visenti kupitia biashara zetu ndogo ndogo na shughuli za ujenzi).

Watumishi wamejaa vinyongo ambavyo nadhani,2020 vinaweza kuleta changamoto sana kwenye kujinadi mbele yao!!!
kama ulivyoleza hapo awali kuwa watu tunatofautina kwa uelewa, kama sijakosea Mh. Raisi alikwisha eleza sababu ambazo zinafanya kutoongeza mishahara zikiwemo kuipa umbele miradi mbalimbali ili kuiwezesha nchi yetu kujikwamua na umasikini tulio nao. ni kweli thamani ya kazi imepungua katika miaka ya hivi karibuni na hii ni kutokana na kanuni ya kiasili ya kwamba mahitaji yakiongzeka thamani hupungua, na hii inatokana na watu wengi kuhitaji kazi kuliko nafasi za kazi zenyewe, kwa maoni yangu naona si kweli kwa hoja uliotoa kuwa watumishi wa umma walio wengi,walimuunga mkono mshindani wake mkubwa katika uchaguzi wa 2015" na hivyo ana hasira na sisi kwa kuwa hawakuonyesha ushirikiano, si kweli kwa kuwa watumishi wengi ndio tuliompigia kura Mh.Magufuli na sivyo kama unavyofili wewe.
 
Nimeeleza hapo juu,kwamba,je sasa ni wakati wa kuweka sheria pembenio na kuendesha mabo kwa utashi tu???

Si jambo baya hata kidogo kufanya shughuli za maendeleo,nadhani kuwa wakweli tu,hakuna rais aliijenga miundo mbinu ya barabara kama Mh.Jakaya Mrisho Kikwete chini ya usimamizi mahiri wa Mh.John Pombe Magufuli.(akiwa waziri wa wizara husika),lakini angalau watumishi pia walikumbukwa japo si kwa kiasi kikubwa!(kwani watumishi bado walilalamika sana)

Kumbuka kwamba swali langu ni kwamba,pamoja na haya yote mazuri yanayofanyika,kwanini yasiambatane na kuibadili sheria ya utumishi wa umma,ili ieleze wazi kwamba hakutakuwa na ongezeko la mishahara kwa kipindi cha miaka 5 ili kupisha maendeleo ya nchi,kuliko sheria iseme hivi na utekelezaji uwe vile??

Kwa hoja ya watumishi kuunga mkono upinzani,si maneno yangu,rejea alichokisema waziri mkuu akiwa Kagera juu ya watumishi wa umma na uchaguzi wa mwaka 2015!!
 
Watumishi wa umma hawa athari yoyote kwa uchaguzi kwanza sio wapiga kura .Wanatakiwa wawe wazalendo kwa nchi yao pia afadhali yao wanapewa hata mishahara je wananchi wa kawaida wanapewa nini? Serikali inajenga Uchumi kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui umuhimu wa watumishi wa Umma kwenye uchaguzi basi wewe ni mburula tu. Hawa ndio wanaojazilizia kura za ccm kila uchaguzi hata kama hazitoshi. Hawa ndio wanaowatangaza Wabunge na Madiwani wa Ccm walioshindwa kuwa washindi. Kama hujui umuhimu wa mtu kaa kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MOD usiufute huu uzi,wafanyakaz weng huwa hawapend kusoma soma,waache wasome kidog kidogo il dawa iwaingie! Uzur wa JIWE anajua kulipa vsas hvyo wacha watumish wauote moto wa jiwe ili 2020 2one kama akil imewarud au la,make wao n vibur wa kujitambua.
Naona mods hawakuufuta uzi,badala yake waliubadilisha heading,wameondoa "Mh.Rais" na kuweka "serikali...."
Sijui makosa yalikuwa wapi na heading yangu ya awali!
 
Sasa kama mnaona huko Serikalini mlikoajiriwa hakufai na hampendwi si mtoke tu na mje Kuungana nasi huku Uraiani kuliko kutupigia Kelele hapa? Acheni Rais Dkt. Magufuli awanyoosheni kwani mlizoea na mlizoeshwa vibaya na ningepata wasaa wa Kukutana nae JPM ningemwambia aongeze ' Dozi ' ya Kuwanyoosheni.
Kama mijitu haijitambui ni bora iendelee kula msoto.
Elfu 20 ya siku moja tu iliwaandamanisha kumpongeza jiwe kwa kikokotoo ambacho kilikuwepo hapo awali na hakijawahi kumtajirisha mtumishi.

Kuna hii misemo miwili huwa naielewa sana; "Usilolijua ni sawa na usiku wa giza" na huu wa " bora ukose mali upate akili" Nyinyi watu wawili mjitafakari sana badala ya kukurupuka tu kuchangia.

Haki za wafanyakazi, siyo fadhila ya kiongozi/mtawala! Zipo kisheria na zinatambuliwa na shirika la kazi duniani; ILO! Hivyo kitendo anachokifanya rais ni kinyume na sheria na ni kitendo cha kibinafsi, cha kikatili na kisichojali haki za binadamu. Yeye aliwahi kuwa mtumishi wa umma na anatambua maisha ya watumishi wa umma yalivyokuwa magumu miaka na miaka! bahati mbaya ndiyo hivyo; binadamu ni wepesi kusahau walikotoka.

Na muwe mnakumbuka wafanyakazi ni moja ya kundi lenye mchango mkubwa kwenye maendeleo ya nchi! Wanalipa kodi kubwa (paye)kuliko makundi mengi tu kwenye jamii! Wana familia zinazowategemea;

Hao wakulima na wafanyabiashara pia wananufaika sana pale wafanyakazi wanapokua na mishahara mizuri!
 
Back
Top Bottom