Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 4,953
- 6,071
Barua pia ilianza kusambaa kabla ya kufika kwao hao , soma vizuri maelezo juuHivi mitandao ya kijamii ndiyo imekuwa jukwaa la kuongea na wanachama na/au kujibu barua za kiofisi?
Hakika hatuna viongozi makini wa vyama vya siasa ila wababaishaji, wapenda sifa na wasiojua kuwa hawajui maana ya siasa.
Iwapo kweli Zitto ana dhamira ya dhati ya ACT Mzalendo, kuwa chama tawala, barua ya Msajiri yenye dhamira ya kukifuta chama, angeliongelea hilo suala ZITO, kwenye vikao vya chama, wakaijibu barua ya Msajiri wa Vyama vya Siasa, kabla ya kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari au mitandaoni.
Wanatapatapa sana kana kwamba wameanza siasa jana.
AIBU na FEDHEHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app