Natafuta kazi! Elimu yangu kidato cha 4 pia najua lugha 3

Nammadede

Member
Nov 21, 2018
58
16
Jamani natafuta kazi elimu yangu form 4 najua lugha tatu kiswahili.kichina na kingereza no 0759478106
 
Jamani natafuta kazi elimu yangu form 4 najua lugha tatu kiswahili.kichina na kingereza no 0759478106

Hongera! ila usibweteke na hapo kama hali nzuri ongezea short course ya utalii na baada ya hapo unaweza kwenda Zanzibar ukaomba kazi katika tourism firms au hata ukaapply permit na ukawa Tour guide.
 
Hongera! ila usibweteke na hapo kama hali nzuri ongezea short course ya utalii na baada ya hapo unaweza kwenda Zanzibar ukaomba kazi katika tourism firms au hata ukaapply permit na ukawa Tour guide.
Kweli kabisa shukrani ila usawa umekaba
 
Tatizo sio language tatizo unaujuzi gani sisi watazania mtu akijua English bc wanaona msomi mi naona msomi Ni mtu mwenyewe juzi wake uunakuta mtu anajua lugha Kama nne huna ujuz na fani yoyote ua huna ujuz unabaki English yako ukale uga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom